Tumeacha mambo ya Msingi tunajadili upuuzi!

Sio jukumu langu kukuwekea ripoti ya IMF , unaweza itafuta mitandaoni ndugu

Mkuu nimependa sana hii mada yako. Iko hivi, kwa sasa hivi majukwaa rasmi ya kuongea hayo mambo kwa uwazi hayapo, na huku jukwaani mada zinazoanzishwa Ni hizi hizi unazolalamikia. Badala ya kulaumu, anzulisha ww mada yenye msingi, sisi washereheshaji tupo. Toa vifungu kwenye hiyo ripoti vinavyoonyesha hayo matatizo tujadili. Wote tunajua kusoma vitabu vitakatifu, mbona tunaenda kwenye nyumba za ibada na kusubiri viongozi wadadavue?

Mimi bila hata ripoti ya IMF haya yanayotokea niliyajua tu ni lazima yatokee. Nilipoona tu rais anaua mifumo yote ya ushindani na kuanza kuleta mifumo ya ukiritimba wa dola, nilijua fika hatima itakuwa ni ipi. Kibaya zaidi amefanikiwa kuziba midomo vyombo vya habari ili afiche haya yatakayotokokea. Ukiona mtu anajiita msafi lakini hataki kukaa kwenye mwanga, anakimbilia kwenye giza, jua hapo yajayo yanafurahisha. Nyerere pia alitufungia kwenye box tukabaki tunamsifu yeye tu. Siku ametuachia tukatoka ndani ya box, kila mtu alikuwa anatembea na viraka.
 
Asa

Asante sana kwa kunikumbusha ndugu. Imenibidi niseme haya maana kwa yanayoendelea hayahuzunishi tu bali yanasikitisha.

Kuna hatari kubwa sana naiona mbele, nayo ni Raisi ajaye kuanza upya kama alivyoanza upya mzee Mwinyi.

Mambo hayako sawa kabisa.
 
jomba kwanini usianzishe mada unakaa unalalama bila sababu...maendeleo yanaanza na wewe jomba sio mwingine...lete hoja mezani...jomba.suala la kiwanda kufungwa au kukosa biashara unataka serikali ifanyeje..iende ikalazimishe watu wanunue...au..? mambo ya biashara unayajua jomba au huyajui...market forces zinategemea na wewe umejipangaje..tuna biashara huria, lazima uwekeze ili uweze ku fit kwenye ushindani..biashara sio lelemama
Kitu watu wengi wanacholalamika ni uwezo wa wananchi wa kununua bidhaa kupungua kipindi hiki ukilinganisha na vipindi/awamu zilizotangulia. Na sio serikali kulazimisha watu kununua bidhaa. I think this is the point here.
 
Ni hatari sana. Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa.

Kama CCM wangekuwa wanajua namna ya kutumia nguvu zao vizuri. Nchi hii ingekuwa mbali sana
Naona mwanzisha mada na mashabiki wenzako mmejikita kujadili kisiasa badala ya kujadili kiuchumi mnaleta ushabiki wa upinzani dhidi ya com nk
 
Ni hatari sana. Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa.

Kama CCM wangekuwa wanajua namna ya kutumia nguvu zao vizuri. Nchi hii ingekuwa mbali sana
Wao wanachojali ni chama chao kushinda bila kujali nani atashika usukani baada ya huo ushindi. Wananchi's welfare, I think, not their number one priority.
 
Sio JF tu hadi facebook na Twitter, watu wamepangwa kupotosha hoja za msingi na kujadili mambo ya ajabu ajabu kuwatoa watu kwenye reli. So sad

Jr
Naona na wewe umepangwa kuchafua mitandao ya kijamii, sifa za slowlearner ni kuongeza tatizo kwenge tatizo. Badala ya kutatua tatizo umeleta tatizo lingine kuwa watu wanapangwa!! Nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu watu wengi wanacholalamika ni uwezo wa wananchi wa kununua bidhaa kupungua kipindi hiki ukilinganisha na vipindi/awamu zilizotangulia. Na sio serikali kulazimisha watu kununua bidhaa. I think this is the point here.
ok uwezo wa wananchi umepungua kwa.sababu zipi labda tudadavue jomba..Serikali imewapunguzia uwezo au ni mfumo mzima umebadilika.?kumbuka kuwa hapo nyuma mambo mengi yalikuwa yakiendeshwa bila kufuata utaratibu, ukwepaji kodi kwa wafanya biashara, biashara haramu nyingi, madawa ya kulevya, malipo hewa, watumishi hewa na hewa nyingi nyingi...utaratibu huu ulikuwa ukisababishwa mapesa kumwagika mitaani na kwa njia za utakatishaji pesa..unazielewa?. mifumo hii ilikuwa inaikosesha serikali mapatoya mabilioni ya fedha...serikali ilifika mahali wakati mwingine ilikuwa inayumba kulipa mishahara ya watumishi labda, na hata kuazima kwenye mifuko ya jamii...ilikuwa hatari jomba..sababu ya Ufisadi..Mh. Rais kila siku anasema unamsikia...jomba..
sasasehemu kubwa watu wamerudi njia kuu na ambayo ndio uhalisia wa uchumi wetu, na sio zile chumi fake tulizokuwa nazo awali..sijui umenipata?. hapa sasa ndipo malalamiko ya wengi yanakuja mara ooh mapato yamepungua, mara sijui kodi zmezidi...tunasahau kwamba kodi hizi zilizkuwepo kwenye sheria zetu sema tulikuwa hatuzifuati mpaka tukazisahau..kabisa...kama zipo...binadamu tuna shida sana..utakuta mtu anatoa lawama as if.kuna mambo mapya mengi yameingizwa..kinyume chake serikali imefuta kodi nyingi za hovyohovyo...wafanyabiashara ndio wakati wao huu wa kufanya biashara halali na kulipa kodi..tutengeneze chumi zenye uhalisia na sio zile.chumi fake za kubumba..sijui umenipata
 
Ni hatari sana. Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa.

Kama CCM wangekuwa wanajua namna ya kutumia nguvu zao vizuri. Nchi hii ingekuwa mbali sana

Mkuu ccm hawana nguvu yoyote, nguvu yao halisi inatoka kwa huyo huyo wanayetakiwa wamdhibiti. Kwa taarifa yako zaidi ya nusu ya viongozi wa kuchaguliwa wa ccm wanapatikana kwa madaraka ya huyo huyo ambaye ni tatizo. Na uzuri huyo mleta tatizo analijua hilo, hivyo amewashikia akili, wote wanacheka kama yeye, wanaongea kama yeye, wanavaa kama yeye na yote yaliyo katika matamanio yake, ndio hayo hayo ametrasplant kwenye akili zao pia! Hapo nadhani unaweza kuona ukubwa wa tatizo.
 
Nchi haishtuki, viongozi hawashtuki, wananchi ndo wamelala usingizi wa pono pamoja na hali ya uchumi kuwa mbaya sana na dalili zote kuwa wazi.

Jr
Wanatulazimishia ushilawadu wao makusudi kwa gharama ya kodi zetu.Mambo ya msingi hayajadiliwi,Watanzania tuamke.Hawa watu ni wakoloni halisi bila kujali rangi(Kijani/njano) na hawapo tayari kupoteza utawala wao kwa gharama yoyote ile.Ndiyo maana watumia kanuni ya divide &rule kikamilifu katika kila nyanja.
Tudai Katiba ya Wananchi kwa ajili ya Wananchi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi ana hoja, ni kweli tuliyenaye kama kiongozi hapendi kutumia ushauri wa washauri lkn nchi hii ni yetu, yeye atapita lakini Tanzania itadumu milele.
Tunapaswa kujadili mustakabali wa nchi yetu na tukitupilia mbali itikadi zetu za u ccm na chadema.
Ccm na cdm ni ulaji wa wachache tushtuke na tuangalie future ya tsifa letu zaidi
Wenye akili wame-resign kwenye fact kuwa aliepo madarakani hana mental capacity wala willingness ya kuelewa uliyoyaandika hapa.

Sasa hivi busara ni kuangalia what to do personally to mitigate what is sure to come tukisubiri mtu mwenye kutumia akili yake ipasavyo awe kiongozi wa nchi. Lini?

Only God knows but surely it won't be very wrong, maana aliepo sasa hivi anajikaanga mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa ni mbaya, vijana wanalipwa kuja kusifu na kuabudu.
Tuamke, hata waimba mapambio wajue kuwa kuna kipindi atakuja asiyependa mipambio yao hivyo watateseka sana bora wafunguke tuipiganie kesho ya Tanzania yetu
Kwa makusudi kabisa, jf imejazwa waimba mapambio,,

hoja zenye mashiko hazijadiliwi zinapitwa kama kinyesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok uwezo wa wananchi umepungua kwa.sababu zipi labda tudadavue jomba..Serikali imewapunguzia uwezo au ni mfumo mzima umebadilika.?kumbuka kuwa hapo nyuma mambo mengi yalikuwa yakiendeshwa bila kufuata utaratibu, ukwepaji kodi kwa wafanya biashara, biashara haramu nyingi, madawa ya kulevya, malipo hewa, watumishi hewa na hewa nyingi nyingi...utaratibu huu ulikuwa ukisababishwa mapesa kumwagika mitaani na kwa njia za utakatishaji pesa..unazielewa?. mifumo hii ilikuwa inaikosesha serikali mapatoya mabilioni ya fedha...serikali ilifika mahali wakati mwingine ilikuwa inayumba kulipa mishahara ya watumishi labda, na hata kuazima kwenye mifuko ya jamii...ilikuwa hatari jomba..sababu ya Ufisadi..Mh. Rais kila siku anasema unamsikia...jomba..
sasasehemu kubwa watu wamerudi njia kuu na ambayo ndio uhalisia wa uchumi wetu, na sio zile chumi fake tulizokuwa nazo awali..sijui umenipata?. hapa sasa ndipo malalamiko ya wengi yanakuja mara ooh mapato yamepungua, mara sijui kodi zmezidi...tunasahau kwamba kodi hizi zilizkuwepo kwenye sheria zetu sema tulikuwa hatuzifuati mpaka tukazisahau..kabisa...kama zipo...binadamu tuna shida sana..utakuta mtu anatoa lawama as if.kuna mambo mapya mengi yameingizwa..kinyume chake serikali imefuta kodi nyingi za hovyohovyo...wafanyabiashara ndio wakati wao huu wa kufanya biashara halali na kulipa kodi..tutengeneze chumi zenye uhalisia na sio zile.chumi fake za kubumba..sijui umenipata
Tatitizo ninaloliona kwa sasa ni kuwa, kila anayelalamikia maisha kubana anapewa kibandiko kuwa alikuwa anapiga dili. Well,serikali inaweza kuwa inakusanya vizuri kodi zake ila hazirudi kwa wananchi ku-boost vipato vyao. Mishahara haibadiliki..na hapa ndipo penye tatizo kubwa.ukiongeza mishahara unaongezea wananchi uwezo wa kununua bidhaa na kununua huduma. Saiv mtu itambidi atembee akwepe kulipa nauli ya bajaj. Hapa unamkosesha dereva Bajaj kipato. Dereva Bajaj atashindwa kununua huduma na bidhaa nyingine.. dereva huyu hataweka mafuta mengi..wenye vituo vya mafuta hawatalipa kodi ya kutosha..hawa nao itabidi wapunguze wafanyakazi au wawapunguzie mishahara..mnyororo unakuwa mrefu. Pia serikali kutofanya kazi au biashara na sekta binafsi..inataka ijenge nyumba yenyewe..ikiwezekana ijenge roads yenyewe..iendeshe biashara yenyewe (usafirishaji)..hapa wananchi lazima walie tu.
 
Ni l
ok uwezo wa wananchi umepungua kwa.sababu zipi labda tudadavue jomba..Serikali imewapunguzia uwezo au ni mfumo mzima umebadilika.?kumbuka kuwa hapo nyuma mambo mengi yalikuwa yakiendeshwa bila kufuata utaratibu, ukwepaji kodi kwa wafanya biashara, biashara haramu nyingi, madawa ya kulevya, malipo hewa, watumishi hewa na hewa nyingi nyingi...utaratibu huu ulikuwa ukisababishwa mapesa kumwagika mitaani na kwa njia za utakatishaji pesa..unazielewa?. mifumo hii ilikuwa inaikosesha serikali mapatoya mabilioni ya fedha...serikali ilifika mahali wakati mwingine ilikuwa inayumba kulipa mishahara ya watumishi labda, na hata kuazima kwenye mifuko ya jamii...ilikuwa hatari jomba..sababu ya Ufisadi..Mh. Rais kila siku anasema unamsikia...jomba..
sasasehemu kubwa watu wamerudi njia kuu na ambayo ndio uhalisia wa uchumi wetu, na sio zile chumi fake tulizokuwa nazo awali..sijui umenipata?. hapa sasa ndipo malalamiko ya wengi yanakuja mara ooh mapato yamepungua, mara sijui kodi zmezidi...tunasahau kwamba kodi hizi zilizkuwepo kwenye sheria zetu sema tulikuwa hatuzifuati mpaka tukazisahau..kabisa...kama zipo...binadamu tuna shida sana..utakuta mtu anatoa lawama as if.kuna mambo mapya mengi yameingizwa..kinyume chake serikali imefuta kodi nyingi za hovyohovyo...wafanyabiashara ndio wakati wao huu wa kufanya biashara halali na kulipa kodi..tutengeneze chumi zenye uhalisia na sio zile.chumi fake za kubumba..sijui umenipata
Ni lini serikali ilikopa kulipa mishahara?? Unaongelea kipindi cha Mwinyi? Ambaye nae ni kwa sababu alikuta uchumi umeharibiwa vibaya na Nyerere? Au hujui ni kwa nini Nyerere aliamua kuachia madaraka??

Unasema wakati gani mzuri wa kufanya biashara??? Au unamaanisha uchuuzi ambapo nchi nzima saivi inageuka ya wachuuzi ??? Tena wanaochafua miji na kupanga bidhaa hadi barabarani.

Kwa taarifa yako ndugu, wachuuzi hawalipi kodi.
 
Back
Top Bottom