Tumeacha mambo ya Msingi tunajadili upuuzi!

Tumeacha mambo ya Msingi tunajadili upuuzi!

Lord denning,

Lete fact mkuu, uchumi unakua kwa zaidi ya 7% by NBS na pato la Mtanzania limekuwa kwa taarifa ya juzi ya Dr Mpango.. Siumeona hata wale kwenye ripoti yao nao namna uchumi wetu ulivyomature mpaka tuko kundi moja na Nigeria, SA, Egypt, Tunisia na Algeria..
 
Umeandika jambo lenye manufaa makubwa kwa taifa sisi kama nchi tunabakia katika siasa uchwara zisizokuwa na mbele wala nyuma.

Ili tuendelee inabidi tuondokane na fikra potofu za kisiasa na kiutendaji na lazima nchi ijikite kwenye maendeleo ya watu badala ya vitu nilaima tuangalie watu wetu, elimu yako, afya zao, chakula chao, Uhuru wako maoni yako yote haya hayana budi kuheshimiwa na kutendewa haki.
Sera zetu lazima ziwe rafiki kwa wawekezaji wa ndani na nje ili mitaji inayowekezwa iweze kukua. Pia ni vyema nchi iweke msisitizo katika kuwawezesha watu wake kwa kuwapa mikopo yenye riba nafuu na ikiwezekana mabank yalazimishwe Kutoka mikopo nafuu kwa wananchi.

Ardhi pia ni vizuri irasimishwe ili iweze kutumika kama mtaji lakini hata vyetu Vya elimu vinaweza kurasimishwa vikatumika kama security ya kupatiwa mikopo..
 
Tatitizo ninaloliona kwa sasa ni kuwa, kila anayelalamikia maisha kubana anapewa kibandiko kuwa alikuwa anapiga dili. Well,serikali inaweza kuwa inakusanya vizuri kodi zake ila hazirudi kwa wananchi ku-boost vipato vyao. Mishahara haibadiliki..na hapa ndipo penye tatizo kubwa.ukiongeza mishahara unaongezea wananchi uwezo wa kununua bidhaa na kununua huduma. Saiv mtu itambidi atembee akwepe kulipa nauli ya bajaj. Hapa unamkosesha dereva Bajaj kipato. Dereva Bajaj atashindwa kununua huduma na bidhaa nyingine.. dereva huyu hataweka mafuta mengi..wenye vituo vya mafuta hawatalipa kodi ya kutosha..hawa nao itabidi wapunguze wafanyakazi au wawapunguzie mishahara..mnyororo unakuwa mrefu. Pia serikali kutofanya kazi au biashara na sekta binafsi..inataka ijenge nyumba yenyewe..ikiwezekana ijenge roads yenyewe..iendeshe biashara yenyewe (usafirishaji)..hapa wananchi lazima walie tu.
jomba umejitahidi kuchambua lakini bado.unadhani nyongeza ya mshahara kiasi.gani inaweza leta impact katika mzunguko wa fedha unaousema。kwa sababu haiwez kutokea mtu akaongezewa mara mbili au moja na nusu ya kawaida ya mshahara ambayo ingeweza kuonekana impact yake. katika hizo bajaji,n.k. lakini pia kuna maeneo ambayo serikali iyamiliki iweze ku control.economic forces, au njia kuu za uchumi.badala ya kuachia sector binafsi...matatizo kwa mfano mzuri tu wa beaural de.change ambazo serikali.iliachia.wafanya biashara waendeshe lakini kumbe badala yake.wanatumia nafasi hiyo kuyumbisha uchumi kabisa..its ridiculous.exchange rate ilikuwa ikiyumbayumba kwa faida yao wafanya biashara..lakini ona tangu serikali ichukue usimamizi umeona exc rate ilivyokuwa stabke.?unaporuhusu tu njia za kibepari zitawale maeneo yetu kwaTanzania hapo utakuwa umeharibu mfumo mzima wa uchumi wetu..kabisaa
 
Unaamini na kufikiri huo ndio uhalisia? Je,ikiwa kinyume chake inawezekana ndiyo sahihi.Don't over predict and estimate above normal limits.
Katiba ya Wananchi ndiyo jibu pekee,tuidai,tuiandike na kuiheshimu bila kumbagua mwana wa Mama Tanzania. Tudai haki zetu za maoni na maamuzi yetu yaheshimiwe hasa katika kuchagua Uongozi tuutakao Sisi.
 
Back
Top Bottom