2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Kimsingi tulizoea tumbuatumbua pale kosa linapofanyika, ila kwa hili la Daudi kuvamia mawingu tivii, tumeunda tume badala ya kutumbua kama tulivyozoea.
Najua Waziri Nape yupo kwenye wakati Mgumu. Simlaumu hata kidogo! . I mean hata kidogo.!!
Lakini nafahamu afanyacho hakitasaidia kitu, hata yeye anajua hilo pasi na shaka.
Nikizingatia aina ya askari walioingia mle ndani
Na kauli ya Baba mwenye Nyumba. Ni jibu Tosha kua maamuzi yameshafikiwa.
Nasubiri kuona TV Uhuru /CCM kama itamuomba radhi baba Gwajima kwa kurusha "ushilawadu" .
Manake Leo ni siku ya pili. Kesho ndio deadline..
Nawasilisha....