medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,324
- 1,287
Nashukuru mkuu, hii itapunguza pressure. Nilisema tamko limeandikwa vibaya lakini tukaambiwa imekula kwetu. Wengine wakasema E siyo principle. Ni ufafanuzi mzuri I hope kitabu chao guide hakitakuwa na matatizo kama haya. Kwa ufupi wameandika:TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo. Kwa maelezo zaidi ingia kwenye tovuti yao.
Ila ukumbuke 4 points ni kutoka katika masomo mawiliNashukuru mkuu, hii itapunguza pressure. Nilisema tamko limeandikwa vibaya lakini tukaambiwa imekula kwetu. Wengine wakasema E siyo principle. Ni ufafanuzi mzuri I hope kitabu chao guide hakitakuwa na matatizo kama haya. Kwa ufupi wameandika:
"TCU would like to clarify that the Minimum Admission Entry Qualifications for Form
Six applicants who completed A-Level Studies before 2014 and those who
completed A-Level studies from 2016 is Two principal passes with a total of 4.0 points
from Two Subjects defining the admission into the respective programme ( where
A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1). " Wameweka ta table inayo onyesha E pia inakubalika kwenye hzo two principal passes.
good news
Qualifications ni zilezile ila wameelezea zaidi.
Kwa form 6 wa 2016 two principal passes, and average ya point 4.0
Ordinary Diploma GPA ya 3.5
Tangazo lenyewe linasema hivyo. Issue waliliandika vibaya nashukuru wameliona hilo. Vijana watajipanga.Ila ukumbuke 4 points ni kutoka katika masomo mawili
Hapa waliandika vibaya wakaleta mkanganyiko. Ingekuwa jukwaa la kisiasa tungesema walileta taharuki. Actually walitakiwa waombe na msamaha kwa hili.
Qualifications ni zilezile ila wameelezea zaidi.
Kwa form 6 wa 2016 two principal passes, and average ya point 4.0
Ordinary Diploma GPA ya 3.5
View attachment 366715 TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo. Kwa maelezo zaidi ingia kwenye tovuti yao.
Ebu acha kuwasemea TCU ndo walivyokwambia kwamba OD ni 3.5?.. maana mi naona clarification ya form 6 tu hapo
Qualifications ni zilezile ila wameelezea zaidi.
Kwa form 6 wa 2016 two principal passes, and average ya point 4.0
Ordinary Diploma GPA ya 3.5