Tume ya vyuo vikuu (TCU) yatoa ufafanuzi kuhusu alama za kudahiliwa vyuoni

medisonmuta

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
2,314
1,278
TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo.

Tcu last.jpg
 
TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo. Kwa maelezo zaidi ingia kwenye tovuti yao.
Nashukuru mkuu, hii itapunguza pressure. Nilisema tamko limeandikwa vibaya lakini tukaambiwa imekula kwetu. Wengine wakasema E siyo principle. Ni ufafanuzi mzuri I hope kitabu chao guide hakitakuwa na matatizo kama haya. Kwa ufupi wameandika:

"TCU would like to clarify that the Minimum Admission Entry Qualifications for Form
Six applicants who completed A-Level Studies before 2014 and those who
completed A-Level studies from 2016 is Two principal passes with a total of 4.0 points
from Two Subjects defining the admission into the respective programme ( where
A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1). " Wameweka ta table inayo onyesha E pia inakubalika kwenye hzo two principal passes.
 
Ila ukumbuke 4 points ni kutoka katika masomo mawili
 
View attachment 366715 TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo. Kwa maelezo zaidi ingia kwenye tovuti yao.

Wale waliokua wanajfanya wabishi, asubuhi niliweka bandiko kuhusu huo utata kuna watu wakajifanya wanajua' haya njooni mubishe tena..sometimes mehemko haitakiw hii serikali ni ya watanzania wote siyo kila ki2 mnawaza upinzani wanaipinga CCM sisi wengine hatuna vyama jaman muwe munaelewa, tunachotaka vitu vieleweke
 
466f4acf0d379378d391a04a1a0a937a.jpg

Qualifications ni zilezile ila wameelezea zaidi.

Kwa form 6 wa 2016 two principal passes, and average ya point 4.0

Ordinary Diploma GPA ya 3.5
Ebu acha kuwasemea TCU ndo walivyokwambia kwamba OD ni 3.5?.. maana mi naona clarification ya form 6 tu hapo
 
Sasa tofauti hapo ya tangazo lililopita na hili Jipya iko Wapi??
Cut off points ni zilezile 4 hawajapunguza Kitu lakini nashangaa watu Wanajishauwa Kwa Tangazo jipya!!

Wengi wanacheka na hapa C + E = 4 points.
ila nakumbusha tu: HIZO D + D na C + E ni MINIMUM ENTRY na Wala sio MAXIMUM ENTRY, nyinyi Ni Chaguo la 5, Kwahiyo Possibility Ya Kukosa Chuo ni Kubwa Zaidi Kuliko Kupata.

Possibility Ya Kupata Chuo iko Hivi:-
1) DIVISION ONE A-LEVEL
2) DIVISION TWO A-LEVEL (C + C + D) Points 8.
3) DIPLOMA HOLDERS (GPA > 3.5)
4) DIVISION TWO (C + D + D) Points 7.
5) DIVISION THREE (C + E, & D + D) Points 4.

Nyie endeleeni Kujishauwa tu wakati Nafasi Yenu ni Ya Tano Lala Salama.
 
*Breaking news:TCU WAMEFAFANUA KUHUSU MINIMUM ENTRY QUALIFICATION ZA VYUO VIKUU 2016/2017*

*WANAAMGALIA PTS BADALA YA PRINCIPLE PASS SASA WANAHESABU PTS ULIZOPATA KATIKA MASOMO YAKO MAWILI ZIANZIE 4*

*HII INAWAHUSU WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA 2016 NA 2014 KURUDI NYUMA*

*HII INAMAANA KWAMBA INABIDI ILI UPATE TOTAL YA PTS 4 ,UWE NA MAKSI ZIFUTAZO KWENYE MASOMO MAWILI YA COMBINATION YAKO*

*D D, C E, C D, C C, B E, B D, B C, B B, A E, A D, A C, A B ,A A*

*KWA HIYO KAMA MINIMUM UNA D E CHUO UNAENDA.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom