Tume ya Uchaguzi (NEC) yakabidhi ripoti ya Uchaguzi 2015 kwa Rais Magufuli. Mikutano ya Vyama vya Siasa marufuku hadi 2020

Anawashangaa waliokuwa wanamtaka aingilie maamuzi ya ZEC ilhali wanajua kuwa ZEC haiingiliwi na mamlaka yoyote na kwamba Zanzibar ina mamlaka yake
 
Ametimiza wajibu wake wa kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Marudio Zanzibar unafanyika kwa amani na usalama na amewapongeza Wazanzibari kwa kufanikisha hilo
 
uncle magu alibadilisha koti, naona alipokuwa ndani koti linguine, nje ana koti lingine
 
Lubuva alirudisha mabilioni kwa magufuli huku daftari la kudumu latakiwa kufanyiwa uodate mara kwa mara! Hata hiyo kura ya maoni itaganyika kwa daftari lenye kasoro! Lubuva anajipendekeza tu.
 
Uchaguzi sasa umemalizika ila kwa vile NEC ni chombo cha kudumu, ameiomba NEC kuanza mapema maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2020 mapema. Ameihakikishia tume kuwa itashughulikia kero walizoainisha zinaondolewa. Kwamba anaunga mkono mapendekezo ya Kuwa na Mfuko wa Pamoja wa Tume ili ipate fedha wakati wote.

Poa ameguswa sana na hoja ya kukosa Ofisi. Amesema kuwa Tume imepanga majengo Matatu hali ambayo inaongeza gharama na kwamba mahala ilipo ofisi ni pabaya na si salama
 
Rais Amerejesha zile Bilioni 12 walizorejesha Tume Serikalini ili wajenge Ofisi
 
....Kikwete yuko salama sababu ya katiba,sasa sijui mnashangaa nini hapo?!
 
Kilichonifurahisha kwenye uchaguzi ni yale masong tuliyokuwa tunayacheza bila kujali itikadi zetu, ilikua yakipigwa lazima tuyarudi. Msagasumu na Marehemu Kapt. Komba.
 
Eti atafurahi sana kama tume itajenga ofisi zake Dodoma , anasema atamshangaa sana Lubuva kama hata penda kuhamia Dododma na yeye ni MZAALIWA WA DODOMA, ina maana Lubuva atakuwa mwenyekiti wa kudumu wa hii tume?! Inashangaza sana.
 
Lubuva alirudisha mabilioni kwa magufuli huku daftari la kudumu latakiwa kufanyiwa uodate mara kwa mara! Hata hiyo kura ya maoni itaganyika kwa daftari lenye kasoro! Lubuva anajipendekeza tu.
Tatizo mizuka
 
Ameiomba NEC kutumia Tanzania Building Agency ambao gharama zao za ujenzi ni ndogo. Ametoa mfano kuwa TBA wamepewa Bilioni 10 kujenga mabweni UDSM ambapo kwa sasa wanajenga Flat 20 za ghorofa 3 kila moja ambapo zitaaccomodate wanafunzi 4000 hali ambayo ni mafanikio makubwa sana. Amesema kama watafuata ushauri wake, bilioni 12 walizopewa zitajenga majengo mazuri na ikiwezekana watapata hata na Rest House

Ameiomba Tume kujenga Ofisi hiyo Dodoma na wakishapata kiwanja, wamueleze Rais ili atoe hizo fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi hiyo
 
Eti atafurahi sana kama tume itajenga ofisi zake Dodoma , anasema atamshangaa sana Lubuva kama hata penda kuhamia Dododma na yeye ni MZAALIWA WA DODOMA, ina maana Lubuva atakuwa mwenyekiti wa kudumu wa hii tume?! Inashangaza sana.
Kwa sasa Mwenyekiti ni Lubuva na ndiye atakayesimamia Ujenzi wa Jengo hilo. Acheni uduwanzi
 
Eti leo ndio anasema watanzania wote ni washindi, amesahau alisema yeye ndie mshindi na ataongoza wote, hii nayo ni sababu ya kukosa kumbukumbu ya ulilosema juzi.
 
Back
Top Bottom