Tume ya uchaguzi na mtandao wa matokeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya uchaguzi na mtandao wa matokeo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtembezi, Oct 30, 2010.

 1. M

  Mtembezi Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BREEEAKING NEWS,,,,,,,,Hadi wakati huu Mitandao ya kutuma matokeo ya tume ya taifa ya uchaguzi haijetengamaa
   
 2. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  umejuaje?
   
 3. m

  manyusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Tumemuomba MUNGU kwa kulia na kuomboleza atautia upofu ufahamu wao wale wote wanaopanga kuharibu matokeo mpaka hapo uchaguzi utakapokwisha na matokeo kutangazwa.KUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU MBARIKI YULE ULIYEMTEUA KUWA RAISI WA KIZAZI KIPYA
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mungu, yu kazini anatenda kazi yake... Mbinu zao zote chafu hazitafanikiwa.
   
 5. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Amina.
   
 6. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kuna mwenye taarifa zozote kuhusu website ya NEC ina matatizo gani?
   
 7. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Labda watakuwa wamefunga ku-update.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mwenyewe nashangaa ina tatizo gani
   
 9. A

  August_Shao Senior Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  matokeo sio mazuri.............yameathiri website
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sasa ku-update website ndio mpaka tovuti ifungwe!?
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Aaaaaaahh wameifunga eeeeh, waambie mafuriko hayazuiliwi kwa mikono. Kiravuitu yupooooooo?
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hacked!
   
 13. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ha ha haa! its sad kwa kweli kama hata kuendesha tovuti kunawashinda
   
 14. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Thats also a possibility....lakini watakuwa wamezima mtambo makusudi. I am sure kama CCM ingekuwa inapeta sasa hivi wangekuwa online 24/7!
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  imechakachuliwa...!
   
 16. Abdallah M. Nassor

  Abdallah M. Nassor Verified User

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 591
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 180
  watachakachua sana lakini ukweli utabaki pale pale kuwa CCM haina tena nafasi katika siasa za Tanzania. Miaka 50 inawatosha.
   
 17. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hii NEC yaani ni kichefu chefy sanaa
  Website yao haina matokeo yoyote ya mwaka huu
  bali latest waliyonayo ni ya uchaguzi wa 2005
  pamoja na mabilioni ya shilingi mnayotumia kujiendesha hamuwezi hata kuweka matokeo kweny website yenu mnatia aibuu
   
 18. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 19. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  These people should be in jail, No...they should be hanged!!!!!
   
 20. K

  Koba JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Sio NEC tuu kuanzia iKULu ni blah blah tuu kama hizi,sababu tosha kabisa ya kuwaondoa hawa mafisadi..cha ajabu wengi hawaoni.
   
Loading...