Tume ya Uchaguzi na CHADEMA hamjawatendea haki walemavu

Tume ya Uchaguzi na CHADEMA hamjawatendea haki walemavu

Mkuu alafu hawa ndio wajibuji hoja wa 'mzee wa ulipo tupo' humu mitandaoni......yaani wanatafuna pesa za mzee buure kabisa.
Mungu anawaona lakini.
Wewe unaonwa na Shetani
 
Hivi Amina Mollel ana ulemavu wa nini.
Alipokua Radio One/ITV akiitwa Amina Saleh mbona sikuwahi kusikia ni mlemavu
Yule dada ni mlemavu mkuu na aliwahi kuwa M/ ti wa chama cha walemavu Tz
 
Mkuu alafu hawa ndio wajibuji hoja wa 'mzee wa ulipo tupo' humu mitandaoni......yaani wanatafuna pesa za mzee buure kabisa.
Mungu anawaona lakini.
Hawa ni majobless wala hawalipwi kitu mkuu, trust me kumlipa mtu kama huyu mbumbumbu hawezi kujenga hata hoja ni hasara
 
Hawa ni majobless wala hawalipwi kitu mkuu, trust me kumlipa mtu kama huyu mbumbumbu hawezi kujenga hata hoja ni hasara
How dare you unamuita mwenzio mbumbumbu wakati wwe ndio ulistahili kuitwa hivyo!! Ssa huo uzi wako unaongea nni zaidi ya upotoshaji tu kwa watanzania wasiojua sheria za kibunge na kuhoji!!!!

Shame on u
 
Back
Top Bottom