Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yatoa Ratiba rasmi. Uchaguzi kufanyika Oktoba 25, 2015

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,583
6,633
Kampeni zitaanza Agosti 22, 2015

Naambatanisha ratiba yenyewe

attachment.php
 
Attachments

  • 1432541302445.jpg
    1432541302445.jpg
    43.1 KB · Views: 9,960
  • NEC.png
    NEC.png
    122.6 KB · Views: 1,558
hili la katiba mpya limewashinda hawa jamaa ila hawataki kukiri hadharani kuwa haiwezekan kura kupigwa mwaka hu
 
Cha ajabu wameendelea kukaa kimya kuhusu Kura ya maoni katiba mpya

Muhimu sio ratiba bali maandalizi ya uchaguzi huru na haki

Hakuna katiba mpya kaka! Haikuwa ilani ya mabosi wao CCM! Mara hii tumeshasahau mkuu??!! Katiba mpya ni sarakasi tu wala hawamaanishi!
 
Cha ajabu wameendelea kukaa kimya kuhusu Kura ya maoni katiba mpya

Muhimu sio ratiba bali maandalizi ya uchaguzi huru na haki

Ben, mwenyekiti wa chama chenu alilalama kuwa hadi sasa ratiba haijatolewa, ndio tume imeitikia kilio chake.
 
Cha ajabu wameendelea kukaa kimya kuhusu Kura ya maoni katiba mpya

Muhimu sio ratiba bali maandalizi ya uchaguzi huru na haki

Hili ni pigo kubwa sana kwenu, litawafunga midomo ya uogo wenu wa kuwa oohh Kikwete anataka kuendelea kutawala.

Hapo mmekatizwa kujifarij kabla haja kubwa haijawaishia. Inabidi mkitaka msitake mtoke na albaki kwenye suruali.

Nyie mna shida ya katiba au uchaguzi?

Hata hiyo katiba mpya mtatangaziwa mna wasiwasi wa nini na mliisusia? Leo mnahamu nayo? Unanshangaza!
 
Wadau;

Hii Tume inachezea akili na uhuru wa Watu wa kuabudu! NEC Kuweka siku ya kupiga kura kuwa Jumapili, au Jumamosi au Ijumaa au Alhamisi ni kuingilia Umuhimu, Haki na Uhuru wa kuabudu wa Madhehebu hapa Tanzania, wakati kuna siku za Jumanne na Jumatano ambazo ndio zingefaa kutumika, na Wananchi wote wapewe Mapumziko ili kupiga kura kwa amani, uhuru na bila pressure za masuala ya dini! Viongozi wa Dini na Wanaharakati waungane kulipinga hili kwa nguvu zote!

Link hapa chini, inafaa kusomwa kwa umakini ili tuelewe kuwa 'ukimya' wa watanzania ndio unafanya watawala wanafanya watakavyo, hata kuvuruga uhuru wa wananchi hadi siku ya kupiga kura kujichagulia ustawi wa taifa lao! Hii ni hila na dharau kwa dini na uhuru wa kuabudu!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/856245-siku-ya-uchaguzi-mkuu-iwe-jumanne-au-jumatano-ni-siku-tukufu-iwe-holiday-%5Bmapumziko%5D-nchi-nzima.html
 
Hivi Kikwete alitumia kifungu kipi kutangaza tarehe ya kura ya maoni?

Nilifikiri NEC itapanga siku nyingine zaidi ya Jumapili.
 
Jumapili kama kawa...

Napendekeza makanisa siku hiyo yafanye ibada moja tu... mapema saa 12
 
Hili ni pigo kubwa sana kwenu, litawafunga midomo ya uogo wenu wa kuwa oohh Kikwete anataka kuendelea kutawala.

Hapo mmekatizwa kujifarij kabla haja kubwa haijawaishia. Inabidi mkitaka msitake mtoke na albaki kwenye suruali.

Nyie mna shida ya katiba au uchaguzi?

Hata hiyo katiba mpya mtatangaziwa mna wasiwasi wa nini na mliisusia? Leo mnahamu nayo? Unanshangaza!

Weee nawe unauaibisha uislamu kwa kusema uwongo.
 
Hili ni pigo kubwa sana kwenu, litawafunga midomo ya uogo wenu wa kuwa oohh Kikwete anataka kuendelea kutawala.

Hapo mmekatizwa kujifarij kabla haja kubwa haijawaishia. Inabidi mkitaka msitake mtoke na albaki kwenye suruali.

Nyie mna shida ya katiba au uchaguzi?

Hata hiyo katiba mpya mtatangaziwa mna wasiwasi wa nini na mliisusia? Leo mnahamu nayo? Unanshangaza!
tume hii hii ilisema kura ya maoni itafanyika 30 oktoba na hakuna kura ya maoni iliyofanyika,kwa hiyo hata hii inaweza kuwa kiinimacho ili jk aendelee kubaki madarakani na aendeleeni kutalii around the world!!!!
 
Cha ajabu wameendelea kukaa kimya kuhusu Kura ya maoni katiba mpya

Muhimu sio ratiba bali maandalizi ya uchaguzi huru na haki

Kumbuka bosi wako ali-go on record kuwa uchaguzi umeahirishwa na JK anajiiongezea muda. Vitu kama hivi ndio vinafanya watu wadharau harakati zenu wakati mwengine.inasikitisha sana kiongozi mkubwa kama mbowe anakubali kugeuzwa puppet wa taarifa za kijiweni.

sasa kama mnaamini kwa dhati hakuna uchaguzi, msifanye kampeni, kaeni hadi octoba 25,lakini kama mtafanya kampeni na kuteua wagombea kwa ajili ya uchaguzi "usiokuwepo" mtaonekana majuha.
 
Hili ni pigo kubwa sana kwenu, litawafunga midomo ya uogo wenu wa kuwa oohh Kikwete anataka kuendelea kutawala.

Hapo mmekatizwa kujifarij kabla haja kubwa haijawaishia. Inabidi mkitaka msitake mtoke na albaki kwenye suruali.

Nyie mna shida ya katiba au uchaguzi?

Hata hiyo katiba mpya mtatangaziwa mna wasiwasi wa nini na mliisusia? Leo mnahamu nayo? Unanshangaza!

Soma sheria ya katiba inasemaje kabla kuja hapa na porojo zako. Muda wa kupiga kura ulishapita na hakuna atakayetangaza hili unless sheria inabadilishwa. Watanganyika tunalijua hili.
 
Back
Top Bottom