SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Mashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni
Wachukuliwe wenye brains, sio bakwataMashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni
Sheikh Ponda, BAKWATA wao wameshakubali mambo yako sawa tu,Mashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni
Shekhe Ponda awepo sina hiyanaMashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni
Nyinyi wagalatia miaka nenda rudi humu JF mlikuwa mnamuita Sheikh Ponda ni GaidiSheikh Ponda akiongea utamsikia anasema "Mimi na Masheikh wenzangu tumefanya tafiti tumegundua....."
SHeakh PondaWachukuliwe wenye brains, sio bakwata
Sema mabwabwa usichafue hadhi ya ushekheMashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni