Tume ya Jenerali Waitara kuzama kwa MV Nyerere anza na hili

WACHENI WAFU WAZIKE WAFUWAO KIUKWELI SERKL IMEWAHURUMIA TU WANGEGAWA MAITI WAKAZIKWE NA NDUGUZAOO
KIUFUPIII TU WALE WAFANYABIASHARA WALIOJAZA MIZIGO YAOOO NA KUHONGA KUANZIA CAPT N WENGINEOO NAAMINI AJAPONA


HAWA NDIOO CHANZO HALISI SUBIRINI GENERAL WETU AJE NA RIPOTI MTAELEWA ISSUE UZITO


HAKA. KAMCHEZO CHA LONGY SIO LEOO UTAKUTA MANAGER WAHAPO ANA MABASI MANNE NYUMBA SABA GARI NNE ZA KIFAHARI. MNAHISI KACHEZA KACKPOT YA MBET. KUMBE


KUHUSU ABIRIA KUSHUKA TOKA JUU KABLA YA KUSIMAMA NAKATAA ELSE LILE PANTON PALE KIGAMBONI YANGESHAZAMA....

KAMA WEIGHT IKO WITHIN NORMAL HATA AKIKATA KONA WAJAZANE UPANDE MMOJA AITAPINDUka IKIZIDISHA UZITO HAKUNA JINSI ISRAEL LAZIMA AWASOGELEE

RIP WATOROWOOTE WASIO NA HATIAA
 
Pdidy,
Hoja zImekaa vizuri sema tu umeandika ukiwa na haraka maana kuna mkanganyiko wa sentenso na maneno!.
Nina hakika Jenerali Waitara mmura ataifanyia kazi pamoja na mambo mengine! Ndiyo maana hiri rinchi unakuta mtu anaendesha Kivuko/Ferry/Boti lakini MALI ALIZO NAZO HAZILINGANI NA KIPATO CHAKE....Lazima Watz tukatae ujinga huu wa baadhi ya WATAWALA NA WATUMISHI KUJINUFAISHA KWA GHARAMA ZA UHAI WA WATU....!!!
INAUMAA SANAAAAAAAA

KINACHOUUMAA ZAIDI N HIZI RIPOTI AZIFANYIWI KAZI WAHUSIKA ATUJUI WAMEHUKUMIWAJE

MV BUKOBA KUNA ANAEJUA WASABAABISHAJI WA AJALI WALIPO.. INAUMA ZAIDI...
 
Back
Top Bottom