Tume ya Jenerali Waitara kuzama kwa MV Nyerere anza na hili

WAKATI ZOEZI LAQ KUWATAFUTA WAHUSIKA WALIOSABABISHA MAUWAJI YA HALAIKI MV NYERERE

SERKL IMEUNDA TUME KUCHUNGUZA CHANZO.. USHAURI TU WATU HAWA WANA MAJIBU YOOTE YA MAUWAJI HAYA

1))CAPT WA MELI
HUYU N MSHTAKIWA WA KWANZA
1A)) KURUHUSU MELI KUBEBA UZITO MKUBWA KUPITA UWEZO WAKE
1B)KURHUSU KUBEBA WATU WANAOZIDI UWEZO WA MELI HUKU AKIJUA IDADI KAMILI INAYOTAKIWA

1C))KUSABABISHIA HASARA SERIKALI KUANZIA MAPATO YA ABIRIA WALIOOLIPA IKUMBUKWE WALIKUWA ZAIDI YA 265

NA WANAOTAKIWA 110 MNS HAKA KAMCHEZO AKAKUANZA LEO.... 265-110($($@) ILIOBAKIA ZIDISHA NA NAULI MMOJA HIZO HELA ZILIKUWA ZINAINGIA MIFUKONI MWA WATU KILA SIKU NA HIO N KWENDA ZIDISHA NA KURUDI.. ZIDISHA MARA 30 KWAMWEZI

1D))KOSA LA UDANGANYIFU.. KILA MELI KABLA YA KUONDOKA KUNA DOCS WANAJAZA ZILE DOCS MNS KIASI CHA ABIRIA KILICJOPO TOFAUTI...UZITO ULIOSAINIWA N UONGO MTUPU

-2((ENGINEER)
HUYU AHOJIWE TU KWA KUONA IDADI KUBWA YA ABIRIA NA KUSHINNDWA KUMSHAURI CAPT ASIONDOE NDEGE MPAKA WAKAGUE UPYA IDADI YA ABIRIA

3))----MSIMAMIZI WA KUKATA TKT--

HUYUU ANAHUSIKA ZAIDI BAADA YA CAPT
1)KULISABABISHIA SERKL HASARA KUBWA
YA MAPATO

2))MAUWAJI YA HALAIKI
3))UDANGANYIFU MKUBWA

MANAGER WA KITUO

HUYU LAZIMA ATUELEZE MAHESABU KAMILI YA TKT ZOTEE ZILIIFZOKATWA

AELEZE NANI ALIESAINI MAPATO YALIOKUSANYWA SIKUHIOO JE N IDADI SAWA YA WALIOKUWEPO KWENYE MELI

HUYUU LAZIMA AKAE PEMBENI KUPISHAA UCHUNGUZI......

HUYUU WAKIMBANAAA ATAELEZA UPUUZ8 WOOTE WANAOFANYA KILA SIKU HAPO KWENYE KIVUKO

MWISHO SERKL IANGALIE INAFANYAJE KUONDIOA UBADHIRIFU WA TKT... IONEKANAVYO KUNA VITABU VY SERIKALI NA VYA DILI TUTAFTE SOLN YA HII KTK MELI INAYOKUJA

......ITAENDELEAA BAADA YA UCHUNGUZI
Siku nyingine ukipost kitu andika lugha inayoeleweka!

Nini kazi ya afisa usalama wa wilaya??? Temesa , Sumatra na OSHA???

Rudia bandiko lako liweke lieweke .
 
Hata hapo kigamboni panahitaji uchunguzi wa kina kabla ya ajali....watu wanakatishwa tiketi na kuingia kwenye ferry kama mifugo
 
-2((ENGINEER)
HUYU AHOJIWE TU KWA KUONA IDADI KUBWA YA ABIRIA NA KUSHINNDWA KUMSHAURI CAPT ASIONDOE NDEGE MPAKA WAKAGUE UPYA IDADI YA ABIRIA
Utathibitishaje mahakamani kwamba mtu anatakiwa ajue idadi ya watu kwa kuona? Halafu ni meli, sio ndege. Au na ndege nayo imepata ajali?
 
I
Law of Flotation states that when a body is partially or totally immersed it displaces the amount of fluid equals to its own weight ''Idadi ya abiria ilizidi sawa kwanini haikuzama iliko anza safari izame ilipofika ama karibia kutia Nanga Hata tukujenga nyingine abiria wapewe elimu hatua kwa hatua''
Inaelekea we ni mtaalam wa SUMATRA ndio mana ukiambiwa gari ya tani 1 unadhani haiwezi kubeba tani 1na robo. Au basi la abiria 60 haliwezi kubeba zaidi ya hao! Hivyo ni viwango vilivyowekwa kwa usalama wa chombo na abiria. Nchi hii ndiyo mana mnajaza watoto 150 katika darasa mashuleni. Hivi ikija Ebola mataweza kunusuru maisha ya wananchi kweli?
Elimu lazima ianzie kwa waendeshaji wa vyombo na 'wanasayansi' kama ww. Ili msijaze watu zaidi ya viwango vilivyowekwa, eti kwasababu meli haijazama!
 
Sijui hadidu za rejea kwa Tume ya Jeneral mstahafu Waistara katika uchunguzi wa chanzo cha kuzama kwa MV Nyerere hadi kupelekea kupotea kwa maisha ya Watanzania 224.

Mimi kama raia napenda kumshauri Kiongozi wa Tume Jenerali Waistara aanze na kuchunguza Mapato ya Kivuko hichi kwa muda wote kilipokuwa kinafanya kazi kabla ya ajali. Tunajua uwezo wa MV. Nyerere ni abiria 101, Tani 25 za Mizigo na magari 3 tu. Kama kweli hawa Wafanyakazi wa MV.Nyerere walikuwa wanabeba idadi ya Abiria na Mizigo inayotakiwa basi Mapato yake yatakuwa constant kwa safari hizo 2 kwa siku, kwa wiki, mwezi na mwaka.

Kama walikuw awanzidisha abiria kila siku kwa ujazo wa karibu mara 2 au 3 na mizigo kadhalika tunategemea Mapato yalikuwa ni makubwa sana na Serikali ilikuwa inapata mapato mazuri lakini kwa kuvunja sheria. Hapa ndipo tunaweza kujua kama Serikali ilikuwa ikijinufaisha kwa mapato haya ya ujanja ujanja.

Iwapo Makusanyo siku zote yalikuwa wastani kwa kiwango cha abiria 101 na mizigo tani 25 kwa siku kutwa mara 2 kwa miaka yote(2004-2018) basi TEMESA,SUMATRA na WATUMISHI WOTE MAZI GA NYANZA. Na iwapo Serikali ilikuwa inakusanya mapato makubwa kupindukia kutokana na kuzidisha Mizigo na Abiria basi SERIKALI IWAJIBIKE kwa maana ya Waziri mwenye dhamana na Timu yake. Waziri wa Ujenzi Mhe. KAMWELWE aache kuwatisha watu wanaomtaka ajiuzulu kuwa atawaweka ndani!!!.

Kujiuzulu ni sehemu ya Uongozi kuonesha kuwa umewajibika kwa madudu yaliyotokea chini ya Wizara unayoisimamia ingawa wewe mwenyewe huhusiki moja kwa moja.
Kamwele anatakiwa akapate ushauri nasaha kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya 2 Mzee Alhaji Ali Hassani Mwinyi ambaye mwaka 1974 alijiuzulu kutokana na mauaji ya vikongwe yaliyofanywa na Jeshi la Polisi yeye akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani....Lakini huyuhuyu Mzee Mwinyi mwaka 1985 akaja kuwa Rais wa Awamu 2...Simple!
Wazo mujarabu kabisa ila sijui kama wanapita humu. Kama kweli mapato yalikuwa mara nne au tano na hakukuwa na mtu wa kuhoji basi waanze na serikali iliyokuwa inakubali hiyo pesa inayozidi bila kuhoji.
 
Sijui hadidu za rejea kwa Tume ya Jeneral mstahafu Waistara katika uchunguzi wa chanzo cha kuzama kwa MV Nyerere hadi kupelekea kupotea kwa maisha ya Watanzania 224.

Mimi kama raia napenda kumshauri Kiongozi wa Tume Jenerali Waistara aanze na kuchunguza Mapato ya Kivuko hichi kwa muda wote kilipokuwa kinafanya kazi kabla ya ajali. Tunajua uwezo wa MV. Nyerere ni abiria 101, Tani 25 za Mizigo na magari 3 tu. Kama kweli hawa Wafanyakazi wa MV.Nyerere walikuwa wanabeba idadi ya Abiria na Mizigo inayotakiwa basi Mapato yake yatakuwa constant kwa safari hizo 2 kwa siku, kwa wiki, mwezi na mwaka.

Kama walikuw awanzidisha abiria kila siku kwa ujazo wa karibu mara 2 au 3 na mizigo kadhalika tunategemea Mapato yalikuwa ni makubwa sana na Serikali ilikuwa inapata mapato mazuri lakini kwa kuvunja sheria. Hapa ndipo tunaweza kujua kama Serikali ilikuwa ikijinufaisha kwa mapato haya ya ujanja ujanja.

Iwapo Makusanyo siku zote yalikuwa wastani kwa kiwango cha abiria 101 na mizigo tani 25 kwa siku kutwa mara 2 kwa miaka yote(2004-2018) basi TEMESA,SUMATRA na WATUMISHI WOTE MAZI GA NYANZA. Na iwapo Serikali ilikuwa inakusanya mapato makubwa kupindukia kutokana na kuzidisha Mizigo na Abiria basi SERIKALI IWAJIBIKE kwa maana ya Waziri mwenye dhamana na Timu yake. Waziri wa Ujenzi Mhe. KAMWELWE aache kuwatisha watu wanaomtaka ajiuzulu kuwa atawaweka ndani!!!.

Kujiuzulu ni sehemu ya Uongozi kuonesha kuwa umewajibika kwa madudu yaliyotokea chini ya Wizara unayoisimamia ingawa wewe mwenyewe huhusiki moja kwa moja.
Kamwele anatakiwa akapate ushauri nasaha kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya 2 Mzee Alhaji Ali Hassani Mwinyi ambaye mwaka 1974 alijiuzulu kutokana na mauaji ya vikongwe yaliyofanywa na Jeshi la Polisi yeye akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani....Lakini huyuhuyu Mzee Mwinyi mwaka 1985 akaja kuwa Rais wa Awamu 2...Simple!

UZURI KILA MTANZANIA AKIWA NYUMA ya Keyboard ana majibu. Ana akili na anajua yoteee. Unadhani kuwa General WA jeshi kila anaweza. Embu onyesha mafanikio kwa kitu unachofanya. Kama kila majibu mnayo why mnaandika. Msiburi 2020 mpige Kura mchagueni mnayemtaka. Mnabweka sana. Au ndo mbinu zenu za kisiasa. Nikwambie Wtz wataandika humu lakini wapiga Kura hawakai huku. Mwisho wa Siku ohhh tumeibiwa nk. Badilisha your Strategien
 
Law of Flotation states that when a body is partially or totally immersed it displaces the amount of fluid equals to its own weight ''Idadi ya abiria ilizidi sawa kwanini haikuzama iliko anza safari izame ilipofika ama karibia kutia Nanga Hata tukujenga nyingine abiria wapewe elimu hatua kwa hatua''
Wananchi wakiona meli inakaribia kufika nchi kavu wanaanza kujifanya wana haraka, wakati njia nzima walikuwa wametulia sehemu moja.

Safari bado ni ndefu, mpaka elimu iwe imeeleweka kwa wananchi wote wanaotumia hivi vivuko.
 
Mhe. Joseph Mkundi(MB) Jimbo la Ukerewe-CHADEMA yupo kwenye Tume.
Naamini atasimama kidete kutetea hoja za Wana Ukerewe kwa kuzingatia maslahi mapana ya Wapiga Kura wake waliopoteza Maisha na walio Hai.
Amezungukwa na wanaccm hivyo kama kawaida hojazake hazitakubaliwa au zitageuzwa.
 
I

Inaelekea we ni mtaalam wa SUMATRA ndio mana ukiambiwa gari ya tani 1 unadhani haiwezi kubeba tani 1na robo. Au basi la abiria 60 haliwezi kubeba zaidi ya hao! Hivyo ni viwango vilivyowekwa kwa usalama wa chombo na abiria. Nchi hii ndiyo mana mnajaza watoto 150 katika darasa mashuleni. Hivi ikija Ebola mataweza kunusuru maisha ya wananchi kweli?
Elimu lazima ianzie kwa waendeshaji wa vyombo na 'wanasayansi' kama ww. Ili msijaze watu zaidi ya viwango vilivyowekwa, eti kwasababu meli haijazama!
Soma na kuelewa nilicho andika
 
Sijui hadidu za rejea kwa Tume ya Jeneral mstahafu Waistara katika uchunguzi wa chanzo cha kuzama kwa MV Nyerere hadi kupelekea kupotea kwa maisha ya Watanzania 224.

Amini nawaambeni, hii tume itaishia kutumia fedha nyingi kuliko zile zitakazotolewa na serikali kama rambirambi
 
WAKATI ZOEZI LAQ KUWATAFUTA WAHUSIKA WALIOSABABISHA MAUWAJI YA HALAIKI MV NYERERE

SERKL IMEUNDA TUME KUCHUNGUZA CHANZO.. USHAURI TU WATU HAWA WANA MAJIBU YOOTE YA MAUWAJI HAYA

1))CAPT WA MELI
HUYU N MSHTAKIWA WA KWANZA
1A)) KURUHUSU MELI KUBEBA UZITO MKUBWA KUPITA UWEZO WAKE
1B)KURHUSU KUBEBA WATU WANAOZIDI UWEZO WA MELI HUKU AKIJUA IDADI KAMILI INAYOTAKIWA

1C))KUSABABISHIA HASARA SERIKALI KUANZIA MAPATO YA ABIRIA WALIOOLIPA IKUMBUKWE WALIKUWA ZAIDI YA 265

NA WANAOTAKIWA 110 MNS HAKA KAMCHEZO AKAKUANZA LEO.... 265-110($($@) ILIOBAKIA ZIDISHA NA NAULI MMOJA HIZO HELA ZILIKUWA ZINAINGIA MIFUKONI MWA WATU KILA SIKU NA HIO N KWENDA ZIDISHA NA KURUDI.. ZIDISHA MARA 30 KWAMWEZI

1D))KOSA LA UDANGANYIFU.. KILA MELI KABLA YA KUONDOKA KUNA DOCS WANAJAZA ZILE DOCS MNS KIASI CHA ABIRIA KILICJOPO TOFAUTI...UZITO ULIOSAINIWA N UONGO MTUPU

-2((ENGINEER)
HUYU AHOJIWE TU KWA KUONA IDADI KUBWA YA ABIRIA NA KUSHINNDWA KUMSHAURI CAPT ASIONDOE NDEGE MPAKA WAKAGUE UPYA IDADI YA ABIRIA

3))----MSIMAMIZI WA KUKATA TKT--

HUYUU ANAHUSIKA ZAIDI BAADA YA CAPT
1)KULISABABISHIA SERKL HASARA KUBWA
YA MAPATO

2))MAUWAJI YA HALAIKI
3))UDANGANYIFU MKUBWA

MANAGER WA KITUO

HUYU LAZIMA ATUELEZE MAHESABU KAMILI YA TKT ZOTEE ZILIIFZOKATWA

AELEZE NANI ALIESAINI MAPATO YALIOKUSANYWA SIKUHIOO JE N IDADI SAWA YA WALIOKUWEPO KWENYE MELI

HUYUU LAZIMA AKAE PEMBENI KUPISHAA UCHUNGUZI......

HUYUU WAKIMBANAAA ATAELEZA UPUUZ8 WOOTE WANAOFANYA KILA SIKU HAPO KWENYE KIVUKO

MWISHO SERKL IANGALIE INAFANYAJE KUONDIOA UBADHIRIFU WA TKT... IONEKANAVYO KUNA VITABU VY SERIKALI NA VYA DILI TUTAFTE SOLN YA HII KTK MELI INAYOKUJA

......ITAENDELEAA BAADA YA UCHUNGUZI

Sasa hadi hapo tume ya nini ikiwa wewe umeandika hayo yote ukiwa peke yako kwa dakika labda kumi tu?
 
Pdidy,
Hoja zImekaa vizuri sema tu umeandika ukiwa na haraka maana kuna mkanganyiko wa sentenso na maneno!.
Nina hakika Jenerali Waitara mmura ataifanyia kazi pamoja na mambo mengine! Ndiyo maana hiri rinchi unakuta mtu anaendesha Kivuko/Ferry/Boti lakini MALI ALIZO NAZO HAZILINGANI NA KIPATO CHAKE....Lazima Watz tukatae ujinga huu wa baadhi ya WATAWALA NA WATUMISHI KUJINUFAISHA KWA GHARAMA ZA UHAI WA WATU....!!!
 
Back
Top Bottom