CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 18,195
- 34,282
Kubwa la maadui mavi yanagonga chupi na kurudi ndani ushahidi wote unamuelemea yeye na mahenchmen wake.
Yes ni tume yake, si tume huru! Take note please!Umeshasema Ni Tume ya Chande mbona unasema tena si Tume.
Mkuu unatuchanganya
Hiyo TUME hakuna kitu ndiyo maana Askofu Mwamakula Mwanakondoo ameshinda Tumfuate aliwatolea nje hiyo TUME Ya KIHUNI.Leo wamezuia waandishi kurusha mahojiano ya wahanga wa 29 Oct
Kwanini? Kila mhanga anam implicate aliyewateua!
Hàlafu utegemee ukweli kuandikwa na vibaraka Chande et al!
Shangazi you are absolutely right when the evidence becomes incriminating the sexed retired CJ-Judge Chande a pathetic CCM sycophant has unilaterally decided to block the press I tell you it’s a house of cards and nowhere can Samia Suluhu and her cronies hide it’s game over!
Kuna mtu mmoja wa ofisi ya DPP ameniambia RPC watano wanaenda kushitakiwa " kibangusilo bangusilo".Says who?
Umezungumza na acamillius Wambura kakwambia mitutu ya bunduki za waTanzania sasa zinarudishwa kwa wenyewe?
Unayo maana gani na hiyo "It's game over"?
Hiyo tume itaendelea na kazi yake iliyoundiwa; ya kusafisha uchafu; na akina Camillius wenyewe wasipokuwa makini ndio watakuwa Bangusilo, muunda tume atabaki safi kabisa kwenye ripoti yao
Hao akina Camillius ni vikaratasi tu vya chooni; vitawekwa vingine na maisha yataendelea kama kawaida; huku waTanzania wakikandamizwa vilevile.
MagumashiKuna mtu mmoja wa ofisi ya DPP ameniambia RPC watano wanaenda kushitakiwa " kibangusilo bangusilo".
NdotoMagumashi
Wapi ICC au hapa TZ?Kuna mtu mmoja wa ofisi ya DPP ameniambia RPC watano wanaenda kushitakiwa " kibangusilo bangusilo".
Ukumbi wa Halamshauri ya Wilaya ya Ubungo uliopo Kibamba! Una swali jingine tengena?Kikao kilifanyikia wapi ukumbi wa Bot au ukumbi wa manispaa ya simiyu?
DPP jurisdiction yake ni Tanzania tu.Ndoto
Wapi ICC au hapa TZ?
Haitanishangaza hata kidogo hilo lilkitokea; lakini pia hiyo inaweza kuwa ni mbinu tu ya kutokea.Kuna mtu mmoja wa ofisi ya DPP ameniambia RPC watano wanaenda kushitakiwa " kibangusilo bangusilo".