Tume ya ajira tanzania

Wabongo huwa hatuna Malengo!
Auditor anatakiwa atestiwe kama ufahamu wa mbinu za Ukaguzi na si kumuuliza kila Kitu!
Tume ya Ajira nayo Mkweche!

Auditor anapaswa kujua mambo mengi zaidi ya uchumi tu ndo mana unaposoma accounts utasoma na economics pia huwezi kuwa muhasibu au auditor wakati hujui chochote kwenye economics
 
kuitwa kwenye usaili watu zaidi ya 5000 kwa post 100 je kuna uhalali hapo?au ni kutaka kuwasubua abiria ambao hata nauli ya kuhadhuria huo usaili wanakopa,Tume inatakiwa ifanye kazi kiumakini na cyo kuwatesa wahitimu wa vyuo.
Kuna uhalali na hili zoezi halijaanza leo.... tumefanya hivyo kuomba shule, kuomba kazi TRA, BOT nk. na tunafanya hivyo kwenye nchi mbalimbali

KWanza title yako haiendani na hoja.... UNA KITU
pILI, inaonekana hauko sure na tuhuma unazojaribu

TUACHE MAJUNGU.... KAMA NI VIMEMO BASI VIPO ZAIDI KWA WALIO NDANI YA AJIRA KULIKO WANAOTAKA KUINGIA
 
Umenikumbusha interview ya NSSF mwaka jana tuliitwa watu 1500 kwa post 10 tu. Nilikuwa Zanzibar ikabidi nifunge safari kuhudhuria, tulijaza Diamond Jubilee Hall, ilikoishia wanajua wao wenyewe! Kwakweli wangekuwa wanachuja huko huko kupunguzia watu gharama
uLIKOSA

POLE KWA KUKUMBUKA
 
Wabongo huwa hatuna Malengo!
Auditor anatakiwa atestiwe kama ufahamu wa mbinu za Ukaguzi na si kumuuliza kila Kitu!
Tume ya Ajira nayo Mkweche!
Na hii ndio attitude ya wabongo wengi... very narrow and soo deep we cant even argue a point outside the box

kweli wewe mkweche
 
safi... hapo ni survival fro the fittest! atakaye jitsukia hana qualification.. atajiondoa taratibu...
 
Careful shortlisting of applicants haiwezi kukupa watu zaidi ya 10 kwenye post moja!
angalau kwa interview ya kuandika huwa nafasi moja kwa watu kumi, na inapokuja interview ya mdomo howa ni nafasi moja kwa watu watatu lakini hii ya nafasi moja kwa watu arobaini sio haki kabisa
 
still waiting tulikuwa kibao pale duce na ujuaji wa venue ulikuwa ishu unaweza poteza lisaa walisema tufike saa 2 asubuhi badala yake tukaanza saa 6 mchana hawajui watu wameagaje kwenye vibarua vyao?we spend almost the whole day there.wakitoa mjina ya waliopita wana jamii tuambizane coz tunasubiria wengine.
 
Kweli mkuu kuna hii ya mwisho ilifanyika tarehe 11 July mimi nilifanyia pale chuo cha Utalii Tandika hadi leo majibu bado bila-bila
 
kuitwa kwenye usaili watu zaidi ya 5000 kwa post 100 je kuna uhalali hapo?au ni kutaka kuwasubua abiria ambao hata nauli ya kuhadhuria huo usaili wanakopa,Tume inatakiwa ifanye kazi kiumakini na cyo kuwatesa wahitimu wa vyuo.

Thats what we call stupidity.
 
still waiting tulikuwa kibao pale duce na ujuaji wa venue ulikuwa ishu unaweza poteza lisaa walisema tufike saa 2 asubuhi badala yake tukaanza saa 6 mchana hawajui watu wameagaje kwenye vibarua vyao?we spend almost the whole day there.wakitoa mjina ya waliopita wana jamii tuambizane coz tunasubiria wengine.

nadhani huwatendei haki wasio na kazi kwani ninavyofahamu mimi ni vema ikafika wakati sisi tulio na kazi kuwaachia wasio na kazi, na pia inapofika wakati unatafuta kazi si suala la anayekuita kukufanyia usaili akuagie kazini kwako
 
Muhidini:
serikali ya jk imekuwa ya kupanga mipango mizuri ajabu huishia ktk matamsh hatakama wakiunda tume bado siasa ni ugonjwa sugu
 
Tatizo linapokuja ni kwamba katika hao applicant 5000 utakuta 3000 wanaajira tayari lakini wanahitaji tena, mi nadhani ifikie wakati walio na ajira zao waridhike na ajira walizo nazo na kuacha 2naombwelambwela mtaani 2pate hzo wanazo zitangaza.
 
Back
Top Bottom