Tume mmetudharirisha sana kumdai Tr 110 mwenye mtaji wa tr 2.6!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,119
Elimu ya darasani tumefundishwa na wazungu, hizi phd sijui profesa zote wametwambia wazungu!! Ila unapofikia hatua ukawa profesa ujue unaheshimika dunia nzima!! Lakin nahisi uprofesa wa waafrika hauna thamani sawa na wa wazungu!! Kwa kamati zile za mheshimiwa rais kuandika mahesabu makubwa makubwa ya matrillion inatia shaka usomi wetu.

Kwa mahesabu waliopiga maprofesa wetu wanaihakikishia dunia kwamba Tanzania kuna dhahabu kama mchanga unachota tu!! Kwa mahesabu yao wana maana sisi ndio tunaongoza kwa uzalishaji wa madini dunia nzima. Je , ni ya kweli hayo?? Hawa ACACIA wana mtaji wa trillion 2.6 tzs et tunawadai trillion 110tzs !! Haiji hata kidogo!! Najua mtakuja kuniambia ni hesabu ya miaka karibia 20 sawa! Je huyu unaemdai hiyo mihela si ina maana amevuna zaid ya hizo ziko wap?? Nae alipaswa awe na mihela zaid ya hiyo!!

Kampuni kubwa dunian ya migodi BHP ina thamani ya sh trillion 200, kwa hesabu za hawa wachumi wetu wana maana ACACIA INA ZAID YA TRILLION 300!! Si kutudharirisha huku!! Wazungu wakisikia manamba tunayopiga wanakufa na vicheko na kutuona kama vichaa . Wanaulizana hawa watu wanaijua hiyo hela wanayoitamka?? Tafadhari wasomi wetu hata kama ni kuongeza sifuri sio kwa kiwango hicho . Tunachekwa sana huko dunian wakisikia tunamdai mtu mwenye mtaji wa 2.6 atupe 110!! Wanatucheka kwa dharau!! Na kumbukeni hesabu hizi zinahusu mchanga tu!!

Sasa kama mchanga ambao unathamani ndogo kuliko dhahabu yenyewe tunawadai hela hiyo, je dhahabu yenyewe tumezalisha yenye thamani ya sh ngapi??? Mimi nahisi maprofesa wetu hata figa kwa hela za kwetu wangeshindwa kuziweka !! Maana inazidi trillio elfu moja. Na hapo mkumbuke tunaongelea migodi mitatu tu!!! Inayomilikiwa na ACACIA.

Chonde chonde wasomi wetu msitudharirishe!! Mnapodanganya muwe mnakaribiana na ukweli. Kwa hizi hesabu zenu ni sawa na muuza genge la nyanya kuripoti polisi kaibiwa million 20 wakati kavamiwa na mteja wake huku mtaji wake ulio mezani haufiki hata laki moja!!

Namalizia kwa kusema hivi!! Hata mkeshe kupiga hesabu na hawa ACACIA HATA TRILLION MOJA HATUPATI ng'oooo!!
 
Hata ukiona taarifa yao ya jana wanasema haiingii akilini kua wana mtaji wa trilion 10 kisha wadaiwe trilion 110.

Inawezekana kabisa kuna sehemu ya pesa tutakua tunawadai ila sio hizo zilizoandikwa na maprof wetu.

Ikibainika kua kweli hizo pesa ni haki yetu kulipwa zote trilion 110 ambazo zitatoka tu kwenye magwangala basi huku kwenye pure gold tutakua tunadai zaidi ya trilioni 500.
 
Hatutakusikiliza wewe Na hao mafisadi wenzako wa CDM!!
Na nyie angalieni sana 2020 Asilimia za Magu Ni zaidi ya 80
 
Elimu ya darasani tumefundishwa na wazungu, hizi phd sijui profesa zote wametwambia wazungu!! Ila unapofikia hatua ukawa profesa ujue unaheshimika dunia nzima!! Lakin nahisi uprofesa wa waafrika hauna thamani sawa na wa wazungu!! Kwa kamati zile za mheshimiwa rais kuandika mahesabu makubwa makubwa ya matrillion inatia shaka usomi wetu.

Kwa mahesabu waliopiga maprofesa wetu wanaihakikishia dunia kwamba Tanzania kuna dhahabu kama mchanga unachota tu!! Kwa mahesabu yao wana maana sisi ndio tunaongoza kwa uzalishaji wa madini dunia nzima. Je , ni ya kweli hayo?? Hawa ACACIA wana mtaji wa trillion 2.6 tzs et tunawadai trillion 110tzs !! Haiji hata kidogo!! Najua mtakuja kuniambia ni hesabu ya miaka karibia 20 sawa! Je huyu unaemdai hiyo mihela si ina maana amevuna zaid ya hizo ziko wap?? Nae alipaswa awe na mihela zaid ya hiyo!!

Kampuni kubwa dunian ya migodi BHP ina thamani ya sh trillion 200, kwa hesabu za hawa wachumi wetu wana maana ACACIA INA ZAID YA TRILLION 300!! Si kutudharirisha huku!! Wazungu wakisikia manamba tunayopiga wanakufa na vicheko na kutuona kama vichaa . Wanaulizana hawa watu wanaijua hiyo hela wanayoitamka?? Tafadhari wasomi wetu hata kama ni kuongeza sifuri sio kwa kiwango hicho . Tunachekwa sana huko dunian wakisikia tunamdai mtu mwenye mtaji wa 2.6 atupe 110!! Wanatucheka kwa dharau!! Na kumbukeni hesabu hizi zinahusu mchanga tu!!

Sasa kama mchanga ambao unathamani ndogo kuliko dhahabu yenyewe tunawadai hela hiyo, je dhahabu yenyewe tumezalisha yenye thamani ya sh ngapi??? Mimi nahisi maprofesa wetu hata figa kwa hela za kwetu wangeshindwa kuziweka !! Maana inazidi trillio elfu moja. Na hapo mkumbuke tunaongelea migodi mitatu tu!!! Inayomilikiwa na ACACIA.

Chonde chonde wasomi wetu msitudharirishe!! Mnapodanganya muwe mnakaribiana na ukweli. Kwa hizi hesabu zenu ni sawa na muuza genge la nyanya kuripoti polisi kaibiwa million 20 wakati kavamiwa na mteja wake huku mtaji wake ulio mezani haufiki hata laki moja!!

Namalizia kwa kusema hivi!! Hata mkeshe kupiga hesabu na hawa ACACIA HATA TRILLION MOJA HATUPATI ng'oooo!!
Maprofesa wa Tanzania hawana tofauti na ule uprofesa wa akina Majimarefu. Ukizisikia zile ripoti zinatia kinyaa, sisi wote tunafanywa hatuna akili.
 
Angalia Noah mtoa mada mtaani kwenu,kumbuka we sio Roma,utapotea kimya kimya hizi nyuzi ngumu sana
 
Hatutakusikiliza wewe Na hao mafisadi wenzako wa CDM!!
Na nyie angalieni sana 2020 Asilimia za Magu Ni zaidi ya 80
Hiyo 2020 hatuangalia hizi ngonjera zake. Tutamhukumu kwa vile alivyoahidi. Sasa we mwache afikiri hiyo 2020 atapata mteremko kwa hizi headlines za kila siku.
 
Back
Top Bottom