GE2025 Tume imemtangaza Rais, Wabunge wamefikia wapi...!!?

GE2025 Tume imemtangaza Rais, Wabunge wamefikia wapi...!!?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwanza napenda kusema kuwa nimeshangaa sana kwa uchaguzi wa Rais kuisha na kutangazwa wakati Wabunge na madiwani hawajajulikana. Zaidi ya Baba Revo kumbwaga Zitto sijasikia jina la Mbunge au Diwani yeyote aliyechaguliwa mpaka sasa zaidi ya wale wa Zanzibar.

Tunaomba tujulishwe mgao wa CHAUMA umefikia wapi....!!?
Napitia post mpya zote nabaki kusoma comments tuu
 
Wameona ngoja wamuapishe haraka haraka kabla mambo hayajaenda kombo zaidi
 
Hiiii inaitwa YESU NA MARIAAAAA



JF INAPATIKANA BILA KUWASHA VPN
 
Back
Top Bottom