Nyambaf.......Hili suala la serikali tatu ni mtego..!!! Its a trap ambayo CCMwizi hawataki kunaswa kwasababu ni jambo ambalo kihalisia haliwezekani na ukitafakari utakuta kwamba inatakiwa watanganyika tupige kura kama tunautaka huu muungano dhalimu...kwakuwa haiingii akilini kuwa na serikali moja afu inaungana na watu wengine wasiotambulika inaitwa serikali ya muungano...! Now its either ifufuliwe serikali ya tanganyika ziungane na hii yenye katiba yake ya zanzibar ziwe tanzania au ifufuliwe serikali ya tanganyika ibakie kama nchi ya tanzania peke yake bila zanzibar...!
CCMwizi hawataki hii habari kwasababu ikitokea tu 2015 wanaliwa kichwa kwasababu huku Tanganyika CDM inachipuka ajabu na kura nyingi CCMwizi watazikosa ambapo wangezipata kama huu muungano anonymous ungeendelea kuwepo..!
Nyambaf Sisi hatutaki serikali mbili wala tatu...hatuna pesa tunataka serikali moja tena yenye mawaziri kumi ambao sio maanasihasa tena na hyo mikoa ipunguzwe na wilaya ziungane tuwe na serikali ndogo yenye mwelekeo sio mambo ya kuundia wilaya vimada hapa...!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums