Tumchokonoe mpaka atapike yote

Uishi sana mtani
 
Ole wenu watekaji mkajichanganya kumdhuru gwajima......mtarudi zanzibar kwa kuogelea umbwa kabisa
 
Hbd Jr more life more blessings.

Kuhusu "Ponjoro " hii anayofanya Mzee wa leseni ya Magari Makubwa kaamua kumuua Mende kwa Nyundo sifikirii Kama wataendelea kumchokonoa.
GWAJIMA akikubandika jina utaenda nalo kaburini huwa halifutiki kamweee..

PONJORO kazi anayoo
 
Watu wanaweza wakajenga uchawa wapendavyo, wakapambana kwa sifa hata za bandia, lakini Mungu aweza kuwavumilia. Jambo ambalo Mungu hatalivumilia ni kuvunja haki za watu na kumwaga damu kwa kulinda maslahi yao.
Credit: Askofu Munga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…