Tumchokonoe mpaka atapike yote

Happy Birthday Mkuu!
 
Hapoy birthday legendari
 
Hbd Jr more life more blessings.

Kuhusu "Ponjoro " hii anayofanya Mzee wa leseni ya Magari Makubwa kaamua kumuua Mende kwa Nyundo sifikirii Kama wataendelea kumchokonoa.
Kwa kauli za leo tunaitaga mwana ukome. Wote wanaufyata rasmi leo naa hutasikia kibajaji wala boda boda wala IST itafunua kinywa chake.
 
Bahati nzuri ilisisitizwa kuwa tuna awamu tofauti awamu iliyopita na awamu iliyofuata...! lengo lilikuwa jema kutenga yale yaliyotokea awamu iliyopita na yale yaliyotokea awamu iliyofuata. Sasa kama awamu iliyopita ilisemwa ndiyo ilikuwa inafanya yale...iweje awamu iliyofuata ifanye yale ya awamu ile na kuzidisha? Au kuna kiungo kwenye hizi awamu mbili kinachojaribu kuchafua awamu zote?

majibu tafadhali mleta mada na wadau wengine.
 
Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa Mzee wa kilinge mwenye madini ya kutosha. Mungu akutunze sana
 
Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa Mzee wa kilinge mwenye madini ya kutosha. Mungu akutunze sana
We are Gemini..โค Geminis are forever๐Ÿ’ช๐Ÿฟ happy birthfay mbwangali ... Mungu akupe maisha mengi yaliyojaa fanaka
 
Acha uongo huwezi tenganisha ccm na utekaji ubakaji na uuaji kisa tumbo ulianza kitambo
 
Dah kuna mda nikiwakumbuka waliotekwa na kumalizwa napatwa huzuni sana, vipi ingekuwa ni mimi vipi wangekuwa ndugu zangu wa karibu, aendelee kuchokonolewa atayatema tu.

Lecturer mmoja aliingia darasani, akamwambia mwanafunzi mmoja "toka nje sitaki kukuona darasani", akaanza kujitetea kuwa hajafanya kosa lolote, lecturer akasisitiza atoke nje. Kisha lecturer akaanza somo kwa kuuliza "sheria ni nini?", mwanafunzi mmoja akajibu ni taratibu za nchi, mwingine akasema ni taratibu za kusimamia haki

Lecturer akasema wote mnaweza kuwa sawa lakini nani mwenye jukumu la kutetea haki na sheria, wakajibu "serikali","wanaharakati","vyombo vya dola" mwingine akasema "kila mtu". Lecturer akasema uko sahihi ni jukumu la kila mtu lakini kwanini hamjamtetea mwenzenu nilipomtoa darasani mlikaa kimya, ni kwasababu halikuwakuta nyie hili jambo.

Tunaweza kupuuzia haki za watu zinaponyang'anywa kwasababu tunaona halituhusu ukweli ni kuwa wote tupo katika njia moja, tushirikiane kuleta haki.
 
Tunaweza kupuuzia haki za watu zinaponyang'anywa kwasababu tunaona halituhusu ukweli ni kuwa wote tupo katika njia moja, tushirikiane kuleta haki.๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฟ
 
Sure bro, na hata upande wa chadema tuliwashuhudia njaa 55
Yah mkuu, kila upande una faida na hasara zake.
Hakuna chama ambacho kipo perfect 100% kwa jamii n bc tuu wengine bado hawajashika dola hvy hatuwezi kuwajua vzr tabia zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ