Tumchangieni Mh Lema

CCM hawasomi alama za nyakati, wanatafuta kuaibika tena, na wataaibika..CCMtumeichoka na hawana jipya la kuja nalo kwa wananchi, kwa uwezo wa Mungu CDM tutashinda tena kwa kishindo kuliko 2010
 
lete Data zote na kiasi gani kinatakiwa
kichangwe. halafu andika thread yenye maelezo
zaidi na si mstari mmoja tu .. Nimeshuhuhudia na nimekusanya
michango kutoka kwa wana JF kumsaidi mtu ambae hata hakuwa
member hapa. Na ni wengi sana walijitokeza na kumsaidia ...

Ila watu watahitaji maelezo zaidi ya mstari mmoja..
Asante.. Easter njema.

Nasubiri maamuzi tu nijue naituma wapi michango yangu.Lema tupo pamoja Daima.
 
Nina imani kuwa hata huyo jaji aliyemhukum LEMA amefanya makusudi ili kuizika ccm kwan nafsi yake inajua lema akigombea anarudi mjengoni ila anataka magamba wapate vipigo mfululizo. Inauma lakin nguvu ya umma itawaumbua.
 
leta maelekezo mara moja....nitahakikisha kila member wa familia yangu amechanga....
mpaka kieleweke.....
 
Hili la mchango halina tatizo cha msingi taratibu na namna ya kuchangia viwekwe, na pia kutoa maelekezo yatakayoratibiwa kiufasaha.
 
Namuomba Nd. Lema asikate rufaa bali aombe tena ridhaa ya chama chake ili apate kugombea tena. Hata ccm wasimamishe mtu gani wa kwao kwa pale A/town hataambulia kitu. ikiwezekana wasiambulie hata robo ya kura. Kwa mtazamo wangu wanaarusha wako juu na chadema yao.
 
KIUKWELI SINA KAZI BADo NATUFA AJIRA NA NIMEPIGIKA VIBAYA LAKINI NTAVANYA VYOVYOTE LAZIMA NIMCHANGIE MH.LEMA NAMPENDA SANA HUYU JAMAA NTAHAMASISHA PIA NDUGU ZANGU WOTE TUMCHANGIE MH.LEMA
 
yah 2po tayar hata leo hii, imeniuma sana na nimeza mabaya juu ya ccm 2kianzia na huyu muuwaji EL. Mungu anisamehe, ila hawa watu si wakuwachekea kabisa
 
Hakuna haja ya kukata RUFAA walete uchaguzi mwingine wale kichapo as usual....people's.....:rockon::rockon::rockon:
 
ndio tuko tayari kumsaidia Lema kwani tuanajua amekuwa victim wa ccm. Tena napenda kutoa wito kwa wanaharakati wote na wakazi wa mji wa Arusha, tusikubali kuyumbishwa na CCM.
 
kwa kuonyesha mishikamano wanachama wa CDM Arusha wachange hela anazodaiwa lema mahakamni na wakazilipe, ili kuonyesha hao wana CCM watatu kuwa wanachama wa CDM hawakuridhika na hiyo huku na sasa wapo tayari kutafuta haki kwa wananchi
 
CHICHIEMU byeeeeeeeeeeeeeeeee CDM tutashinda tena arusha, Segerea, Sumbawanga mjini, Singida mashariki, Ubungo na kukinge kokote ambako uchaguzi mdogo utatokea...... tutanataka kuwaonesha ccm kuwa 2015 tunachukua nchi na kwa muda wa miaka mitano tutaifanya kazi mara mia zaidi ya walioifanya miaka hamsini ya UHUNI WAO....VIVA CHADEMA.
 
Back
Top Bottom