Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
kuna injini za gari,pikipk,tren n.k.. na kila injini hutumia aina moja ya mafuta, kama injini inatumia diesel basi haiwezi kutumia petrol.,hebu pata picha tumbo lingekuwa kama injini,yaani kama tumbo lako inabidi lipate vitumbua basi ni vitumbua tu mpaka unakufa, kama tumbo lako linakubali magimbi basi ni magimbi tu had kufa..au kama chipsi basi ni chipsi tuuuu.. we ungependa tumbo lako lako likubali chakula gani? na vp km ingekuwa hivyo ingekuwa poa au nouma..