Tumalize Utata: Eto'o Vs Drogba

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,716
45,115
Wewe ndio kocha, kikosi chako ushapanga bado nafasi moja tu ya straika, unae Samuel Eto'o na Didier Drogba yupi unampa nafasi?
Twende kazi...
Adjustments.JPG
 
Zama zimebadilika sana, wakati ule ilikuwa Africa Cup of Nations imejaa A listed players wa Ligi kubwa za Ulaya.

Unakuta 1[SUP]st [/SUP]eleven ya mataifa kama Nigeria, Senegal, Ivory Coast, Cameroun, Mali (kwa mwaka walioandaa mashindano), Ghana etc yamejaa miamba inayotikisa huko Ulaya.

Leo hii wachezaji wa Africa unawatafuta kwa tochi, sasa kama Africa tumefika mara 2 tu robo fainali kipindi cha hao nguli, tusahau tena hiyo nafasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom