Kumbe watu wa dar mnaogopa fujo eeh
sijaiweka Mzizima a.k.a land of peace kwa kua hakuna hata siku moja kuna mkoa wowote Tanzania inawezaifikia DSM na halina ubishi hili
Kumbe watu wa dar mnaogopa fujo eeh
Mkuu,kwanza alichokiandika ni cha kijinga sana
Pamoja na ujinga wake huo bado unaweza kukuta hata Mwanza haijui na hajawahi kufika na hata kama alishawahi kufika inawezekana alikwenda kuishi Igogo mlimani huko halafu akadai anaijua Mwanza
Hili jambo ambalo mleta mada anataka tulijadili hajaliweka vizuri kwa maana ya kueleza anataka tuangalie vitu gani ambavyo ndio vitakuwa ni muongozo wa kile ambacho tutakijadili hapa
Kujadili mambo hovyo hovyo tu kunachosha sana!
bado nasisitiza kibiashara Mwanza kuna pesa sana kwani napima mapato ya uwekezaji niliofanya katika maeneo haya naona mwanza turnout yake ni kubwa kuliko Arusha lakini kwa expousure Chuga pako more exposed kuliko Mwanza na wajanja Arusha ni wengi kuliko kwa watani zangu wa Mwanza.
Nimeishi Mwanza pia Arachuga.
Mwanza kuna base kubwa ya market kwa sababu ya wingi wa wakazi. Pia ni pazuri kuishi. Wasukuma ni wakarimu. Zipo nafasi za kibiashara na uwezekano wa kufanikiwa upo. Vilevile mida ya jioni kutembelea lake Victoria na kuangalia rocks ni kumbukumbu nzuri kama nini.
Upande wa Arachuga ni hivi; kwanza ni mji wa kitalii na namna ya maisha hapa ni ya kipekee tofauti na Mwanza. Arusha inavutia sana kwa sababu iko more advanced kwa maana ya watu wake kuwa na exposure. Watu wa Nairobi wanaipenda Arusha kadhalika watu wengi wa Arusha wanaipenda Nairobi. Huwa nawaza Arusha ni dream ya watu wengi kufika. Sio tu wageni toka Ulaya bali pia hapa Tz.
Karibu Arusha and experience its uniqueness.
Wakuu!
Naomba tuyaangalie haya majiji mawili kati ya Mwanza na Arusha wapi kuzuri? Na vigezo kama unavo unaweza kutupia hapa Binafsi naikubali Mwanza kuna Pesa kuliko Arusha , ninyi mnaonaje?
Wakuu!
Naomba tuyaangalie haya majiji mawili kati ya Mwanza na Arusha wapi kuzuri? Na vigezo kama unavo unaweza kutupia hapa Binafsi naikubali Mwanza kuna Pesa kuliko Arusha , ninyi mnaonaje?
bahati nzuri kote nimewekeza lakini kwa mimi naona Pesa ipo Mwanza kuliko Arusha
Mwanza ndo mpango mzma
Nendeni Kiuchumi Ndo Mtajua Ipi Inaingiza Mapato Makubwa