Tumalize chaguzi tuendelee na Hapa Kazi Tu

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,468
513
Hizi chaguzi zinapaswa kumalizika ili watu waanze kuchapa kazi. Rais tunae tayari hizi siasa uchwara zetu hazitusaidii. Mara mtu kapigwa ngumi, mara kawekwa ndani, mara kamtukana flani. Come on, genuine tuache mambo ya ajabu ajabu.
 
Mh. Magufuli amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutenganisha shughuli za serikali na vyama. Sasa wewe unadhani vyama vitaendelea kusikika kwa staili ipi kama siyokuibua stofahamu za kifigisufigisu kwenye chaguzi?
 
Back
Top Bottom