Tuma Maua/Chocolates/wine/langerie kwa mpenzi wako bongo!

Papa Diana

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
304
22
Kwa wale wote walio nje, wenye wapenzi bongo nataka kuwapa fursa ya kutuma maua na vitu vengine! General costs ...flowers usd 40/=includes a card with message! chocolates usd 10/=, wine usd 20 (minimum, but depends on wine of your choice), langerie = can send photos and prices!!!

sasa kama kuna watu wako interested PM me ilinione kama interest ni kubwa, i need atleast 20 people for it to be viable, delivery sitafanyika tarehe 14 feb ofisini au nyumbani!!

Payments upfront through paypal email; or deposit in Uk bank account or western union;
imageload
 
Yangu macho na masikio!!!
 
huu ni wizi hakuna mtu yuko nje ana mpenzi bongo,kama yupo anadanganya na ana mpenzi mwingine huko :twitch::coffee:
 
Mapenzi ya kizungu hayo

mimi kwangu ni mchele na kapu la samaki....
 
Na kama nataka kutuma kutoka bongo kwenda ulaya??
Nafanya je!!! Viazi vitamu na magimbi, nyanya chungu na bamia ndo zawadi yenyewe?
 
huu ni wizi hakuna mtu yuko nje ana mpenzi bongo,kama yupo anadanganya na ana mpenzi mwingine huko :twitch::coffee:

Mimi hapa ninaye anasoma Bongo na mi nnasoma ughaibuni, na ninampenda balaa na wala simcheat...!:popcorn:
 
Huu uzungu utatufikisha Pabaya...Mtu yupo ULAYA anitumie chocolate au Maua Bongo???? tena kwa DOLARI zote hizo??? si bora anitumie hizo dola???? Then hayo maua ntayafnya nini????? NIYAANGALIE TU?????????????????????????????
 
Kama ulikewepo ndugu, watu waelewe kuwa wazungu wanapeana maua na kadi kwa vile wao friji zao zimejaa chakula, fedha sio shida kama kwetu Afrika, pensheni na huduma za jamii zimetulia. Hivyo mimi naona huku kwetu Afrika heri kumpa mtu kitu kingine na sio maua au kadi, au mpe hela.

Mimi hata kwenye harusi niliacha kabisa kupeleka kadi bali wakati wa zawadi napeleka hela au kitu chenye dhamani fulani. Mikadi niliyopewa kwenye harusi yangu si mimi wala mke wangu aliyewahi pata muda au interest ya kuzisoma, toka wakati huo sioni umuhimu tena wa kadi.
 
We have to define our own rules and not to follow everything. In reality, watu saizi wamebadilika mno hawaendi endi tu.

Hakuna haja ya kuendelea kujifurahisha kwa kufuataa kila kitu kutoka kwa hawa jamaaa wakati tuna tamaduni zetu zimetuliaaaaa!
 
Huu uzungu utatufikisha Pabaya...Mtu yupo ULAYA anitumie chocolate au Maua Bongo???? tena kwa DOLARI zote hizo??? si bora anitumie hizo dola???? Then hayo maua ntayafnya nini????? NIYAANGALIE TU?????????????????????????????

Yani umesema yote!!!
 
Mr President uko wapi ili unitumie hayo maua ati!mpaka sasa sina dalili yoyote ya kupokea maua wala malavedave yeyote. yaan wakati huu wa kuelekea valentine wanaume wamekuwa wapole,eti ubusy umeongezeka.ukitibua kidogo tu wananuna kusuluhisha tar 15.mmh!
 
FL ukisubiri kutumiwa ma-valentine love dav hupati ng'o ,,,,,..
 
kwani huku boingo hakuna maua, chokolate na hizo wine lol.
Valentine is there to stay FL1
 
Usisahau kumuona Invisible kama ukifanikiwa...mkono mtupu haulambwi!!
 
Back
Top Bottom