Tuma Maua/Chocolates/wine/langerie kwa mpenzi wako bongo!

I'm not tempted!But I would love to afford one myself!

They say everyone have got a price....., lakini I think something costing peanuts is priceless from the loved one than anything costing any amount from someone you dont love...

Sorry Papa Diana Idea yako nzuri sana tena ningejua mapema ningetuma link kwa jamaa zangu wote ambao wapo abroad maybe wangecapitalise hii issue.
 
VoR Some are priceless..!Mmh tell me..what's your price?Just wanna see if YOU are affordable!Lolz
 
VoR Some are priceless..!Mmh tell me..what's your price?Just wanna see if YOU are affordable!Lolz

Mmhh I dont know you know.... and I wish I would never need to find out... Lakini watu wengi nimeona ukiwabana their loved ones yaani furaha ya wapenzi wao au security ya wapendwa wao they can do anything (The Power of Love)

There was a story mtu alichukua life insuarance na akataka asababishe ajali ili afe, ili mke wake na watoto wapate hizo pesa za insuarance.., kwahiyo this person was ready to take his life..., therefore am sure kila binadamu huwa kuna that point ambapo you can do almost anything for something..., na sio lazima iwe monetary it might be the fear of loosing something you value most.
 
VoR you must know!Yeah watu wengine wanajali wawapendao zaidi ya wanavyojijali wao!
 
VoR you must know!Yeah watu wengine wanajali wawapendao zaidi ya wanavyojijali wao!

I think am one of those maumivu nikipata mimi tajaribu kuvumilia..., ila kuona sadness au maumivu kwenye uso wa mtu wako wa karibu am sure inauma sana na huwezi ukawa na furaha wakati mwenzako anahuzuni au shida.
 
Yeah its true...!Thats awesome!Your loved ones are blessed!Only a few people can put others before themselves!
 
Back
Top Bottom