Hahahaha yu made me laughPole brother. Ila uwezo wako wa kuandika hautoshi kuwahukumu dada zetu
Exactly.. Afu hawa wenzetu hawaelewi hilo..!! They think that bado tupo kwny world ya 1930'sMwanamke anataka vitendo zaidi sio maneno hujui asaivi tumechoka kusubiri, akitokea alietupia maneno ya kueleweka basi dira inabadilika
You're welcome mkuuHahahaha yu made me laugh
Thank u Mr o Miss..!![emoji120]You're welcome mkuu
Mr....sitabiriki au ni nini!![emoji53][emoji53]Thank u Mr o Miss..!![emoji120]
Siyo ubavu wako huyo..! Fuata dream zako mkeo yupo mahali ametulia kabisa omba kwa imani sana ataletwa tu..!Mambo vipi wadau,
Mwenzenu yamenifika shingoni!
Binti tumehaidiana nimalize chuo niweke ndani, leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao, ukicheck life yangu bado sana. Nachoka.
Nimeumia sana.