Tuliweka ahadi ya kuoana, leo amenigeuka

Tuliweka ahadi ya kuoana, leo amenigeuka

Mambo vipi wadau,

Mwenzenu yamenifika shingoni!

Binti tumehaidiana nimalize chuo niweke ndani, leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao, ukicheck life yangu bado sana. Nachoka.

Nimeumia sana.
Hapo kwenye "life bado sana" ndio wanawake huona kama ww ni chenga,,,,najua pengine ulikua na hope ya kuwa ukimaliza tuuu, unafanya leo application, kesho interview, keshokutwa kusaini mkataba, anza kazi, baada ya miez sita nunua gari, jenga nyumba etc.....na mbaya zaidi pengine nae ulimshirikisha assumptions zako ....sasa kumbe uhalisia kitaani ukija ni tofauti sana brother na akitokea jamaa mwenye 'kichere' kidogo tuuu, anamchukua kiulaini. But let her go na kuna binti atakupenda ukiwa hivohivo salange na mtashikana mikono mtatoka kimaisha, tust me
 
mshukuru Mungu......
fikiria angekugeuka ndani ya ndoa....
 
Mwanamke anataka vitendo zaidi sio maneno hujui asaivi tumechoka kusubiri, akitokea alietupia maneno ya kueleweka basi dira inabadilika
Mtu kama wewe hata ukiwa ndani ya ndoa ikitokea umetupiwa maneno ya kueleweka basi unaweza muacha mume wako..
 
pole sana asee same to me wangu pia anaolewa mwakani nikikumbuka nilipotoka nae daaa natamani ata nirud tumboni mwa mama nizaliwe upya tena
 
nyie si mnasema hamzeeki saa yeyote mtaoa? suɓiri wako yupo sekondari
 
amna kitu kinauma kama kujua uliempenda hakuwa riziki ako na ulimpenda kwa dhati daaa afu mwengne anakuja kuchukua kilaini wakat mm nimepoteza mda kumfundisha mambo kibao usifanye hvi......ukifanya hvi sana ni vibaya .....na mambo kibao afu mwsho wa siku anaolewa
 
Wanaume ndio mbadilike sio kila cku i luv u so much bby, lazima pia uweke vitendo, na pia kumtambulisha kwa wazaz ndugu na mipango mingine ya kimaisha sio huelewk ukiulizwa ndoa chenga kibao kaja wenye lengo na anaonesha vitendo ndio akae akusubirie ww kila cku swaga, mjifunze sasa nakubadilika
 
Pole mkuu! Ndo maisha. Rejections zinakuwepo ila ndo zinakufanya ujue nini cha kufanya baada. Kama tatizo ni wewe kua umechoka basi jipange ndo uwaze kumueka mwanamke ndani.
Wanawake wa siku hizi tunapenda miteremko sana... Tunataka kuwaonesha marafiki zetu kua na sisi tumeolewa na watu wa maana. Ndoa zimekua competition. Utampata tu atakaekupenda wewe kama wewe.
What doesn't kill you makes you stronger
Stay strong
 
Kuachwa umeumia, kwahiyo ukitaka naye aumie kwa kuwekwa ndani kama pangoni, utamlisha pumba?
 
Kuachwa umeumia, kwahiyo ukitaka naye aumie kwa kuwekwa ndani kama pangoni, utamlisha pumba?
Ukimkejeli ndo.unamsaidia? Ulijuaje kwamba hatamlisha, au unajuaje kua hana ama.anayo shuhuli.ya kumuingizia kipato kujilisha yeye na mkewe huyo ambae waliahidiana hayo ambayo ameyasema
 
Ukimkejeli ndo.unamsaidia? Ulijuaje kwamba hatamlisha, au unajuaje kua hana ama.anayo shuhuli.ya kumuingizia kipato kujilisha yeye na mkewe huyo ambae waliahidiana hayo ambayo ameyasema
Atafute ajipange period
 
pole sana huo ndo uanaume una safari ndef ya kuifikia ndoa usijal wako yupo tu utamkuta
 
Halikuwa fungu lako we potezea muombe mungu tu akujalie ufanikiwe kimaisha mwenza utapata
Mambo vipi wadau,

Mwenzenu yamenifika shingoni!

Binti tumehaidiana nimalize chuo niweke ndani, leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao, ukicheck life yangu bado sana. Nachoka.

Nimeumia sana.
 
Back
Top Bottom