eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,660
- 13,805
Kwa wale waumini wa kiingereza, tuliwaambieni ya kuwa siyo kila mmoja anakiabudu hiki kilugha cha Malkia kama Wakenya mnavyodhani.
Pia ikumbukwe, kwa Wakenya wote, siyo kila mzungu mweupe anajua Kiingereza. Kuna idadi kubwa sana ya wazungu ambao Kiingereza kwao wala siyo kitu. Ndiyo maana sasa wameamua kurejea kwenye lugha zao za asili.

EU should stop speaking ‘broken English’ after Brexit, says French minister
France’s Clément Beaune pledges concrete action to enhance ‘linguistic diversity.’
www-politico-eu.cdn.ampproject.org