komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,646
Watapinga hyo, wakati mtu ukienda uhispanyola utakuta mkalimani atangangan kukutafsiria kw kingerezaUkienda Ufaransa utapata wafaransa wengi wanaoongea kiingereza. Vile vile Ukienda Ujerumani utapata situation hiyo hiyo. Huwezi kutudanganya. Wao Europeans wanaongeleshana lugha ipi? Hata wakisema wakifanye ufaransa kuwa lugha ya EU, itawachukua muda mwingi kujifunza lugha hio maana wengi wamejifunza Kiingereza.