Inno laka
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,616
- 585
Ebana mi Si nina account fb...mtu mzima nikazimika na mtoto mmoja wa fb sasa si nikamuomba namba ya cm nikawa na wasiliana naye...,.sasa akanipa Raman nikajaribu kuulizia watu wakaniakikishia mtoto ni Mkareee., ebna hapo Morali ukanipanda niliposikia ni mtoto mkareee #inno nikampigia kuwa anapouwa wapi....akanielekeza mi huyo nikamchukua Rafki angu mpaka maeneo ya karibia na eneo aliponielekeza dah kumbe ye naye katuma duu mwenzie mwenye sura ka jiwe... .da nikabaki nyuma mwana akatangulia wakamit na yule demu akaja akanambia dah demu mbaya baraaa nikasema duu hii kareeee kumbe naye kanifanyia....