Tulivyofanyiana na demu wa fb ni Soooo..!

Tulivyofanyiana na demu wa fb ni Soooo..!

Status
Not open for further replies.
Mimi sisemi kitu hapa coz siku hizi nimeacha kupiga MSHAKI!!!

Ebana mi Si nina account fb...mtu mzima nikazimika na mtoto mmoja wa fb sasa si nikamuomba namba ya cm nikawa na wasiliana naye...,.sasa akanipa Raman nikajaribu kuulizia watu wakaniakikishia mtoto ni Mkareee., ebna hapo Morali ukanipanda niliposikia ni mtoto mkareee #inno nikampigia kuwa anapouwa wapi....akanielekeza mi huyo nikamchukua Rafki angu mpaka maeneo ya karibia na eneo aliponielekeza dah kumbe ye naye katuma duu mwenzie mwenye sura ka jiwe... .da nikabaki nyuma mwana akatangulia wakamit na yule demu akaja akanambia dah demu mbaya baraaa nikasema duu hii kareeee kumbe naye kanifanyia....
 
Mbona mwandiko wake kama wako tu...na sisi huwa tunakushangaa hivyo hivyo.

hahaha! Daaah! Nimechekaje miye! Huyu c ndo handsome wa mtaa anayezimikiwa na magirls akaongeza na watoto juu kwa kuwafanyia sherehe! Daah! Tehtehteh!
 
1185365_440936636015484_486635066_n.jpg
 
Ebana mi Si nina account fb...mtu mzima nikazimika na mtoto mmoja wa fb sasa si nikamuomba namba ya cm nikawa na wasiliana naye...,.sasa akanipa Raman nikajaribu kuulizia watu wakaniakikishia mtoto ni Mkareee., ebna hapo Morali ukanipanda niliposikia ni mtoto mkareee #inno nikampigia kuwa anapouwa wapi....akanielekeza mi huyo nikamchukua Rafki angu mpaka maeneo ya karibia na eneo aliponielekeza dah kumbe ye naye katuma duu mwenzie mwenye sura ka jiwe... .da nikabaki nyuma mwana akatangulia wakamit na yule demu akaja akanambia dah demu mbaya baraaa nikasema duu hii kareeee kumbe naye kanifanyia....



......go tell you mom other wise utaishia kuwa liberal!tell your mother!IDIOTA kundukuwaka!
 
sura kama jiwe ndo ikoje... Sina mbavu
 
Baadhi ya mijitu ya jf bwana,huwa inajiona kama iko tofauti na viumbe wote,yaani kama watu special vile kumbe hakuna lolote,karibia wote waumini wazuri wa fcbk mnamponda nini sasa? Mnadhani kila mtu anapenda habari za siasa? Acheni zenu hii jf ni social ambayo hata kwenye top milion ya social network haipo duniani,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom