una uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
- Tulivunja mahusiano na Israel due to political differences na hatukuangalia zaidi athari za kiuchumi, its time to promote the economic delpomacy, ni mda wa kuangalia interests zetu kama nchi, ni mda wa kuwa na mahusiano mazuri ya kibalozi na Israel , mda umefika wa kuangalia faida za kiuchumi zaidi kama taifa.
Hebu tutajie Taifa moja tu lililofaidika na uhusiano wake na Israel,
Nadhani mleta uzi ameegemea kwenye upande wa mmoja tu,
Nyerere alikuwa mkatoliki safi na ndio alikuwa mtu wa kwanza asieitaka Israel kabisa, je wakatoliki mnaweza kutuambia sababu ya nyerere kutoitaka Israel?
Wewe unaijua historia ya wakatoliki(Rumi) na Israeli (wayahudi au Jews).kasome vizuri historia ya mauaji ya mamilioni ya wayahudi alafu uje hapa useme kwa nini Nyerere aliikataa Israel pamoja na ukatoliki wakeHebu tutajie Taifa moja tu lililofaidika na uhusiano wake na Israel,
Nadhani mleta uzi ameegemea kwenye upande wa mmoja tu,
Nyerere alikuwa mkatoliki safi na ndio alikuwa mtu wa kwanza asieitaka Israel kabisa, je wakatoliki mnaweza kutuambia sababu ya nyerere kutoitaka Israel?
Israel ndio waliosaidia kuanzishwa kwa JKT,ndio waliostructure mfumo wa nyumba kumi kipindi cha Mwalimu....vipi kuliko na faida zozote hapo,nadhani jibu unalouna uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
kwa Afrika mfano mzuri ni Ethiopia. .waisrael wamewekeza sana na kiuchumi inakuwa kwa kasi..plus waisrael wapo kwenye vyombo vyote muhimu vya maamuzi duniani. Hata hiyo marekani inayo influence economical political policies of the world waisrael ndio wanaiongoza.Hebu tutajie Taifa moja tu lililofaidika na uhusiano wake na Israel,
Nadhani mleta uzi ameegemea kwenye upande wa mmoja tu,
Nyerere alikuwa mkatoliki safi na ndio alikuwa mtu wa kwanza asieitaka Israel kabisa, je wakatoliki mnaweza kutuambia sababu ya nyerere kutoitaka Israel?
.....salute kamanda...nikikuunga mkono mia kwa mia kwenye hoja ya bandiko lako, niongezee tu kusema, tatizo kubwa ni unafiki wa waumini wengi kuwa wanadini, bila ya kuwa wachamungu.....zuga tupu!Dunia imebadilika, historia ya miaka mingi iliyopita isitunyime fursa za kujenga uhusiano na taifa makini. Hizi dini ambazo mara nyingi zinatumika kama kigezo cha kuwa na uhusiano wa kidiplomasia na nchi fulani, zililetwa Afrika na watu waliokuja na majahazi, leo hii katika dunia ya facebook na mitandao mingi ya habari wenye akili hawajifanyi kuzijua sana hizi dini. Kuna watu wanajifanya wanaujua sana ukristo kuna watu wanajifanya wanaujua sana uslamu, wote hao hawana msaada wowote kwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania, wanayoyasema yaingilie sikio la kushoto na yatokee sikio la kulia.
Una hakika waethiopia wananufaika na hayo maendeleo?kwa Afrika mfano mzuri ni Ethiopia. .waisrael wamewekeza sana na kiuchumi inakuwa kwa kasi..plus waisrael wapo kwenye vyombo vyote muhimu vya maamuzi duniani. Hata hiyo marekani inayo influence economical political policies of the world waisrael ndio wanaiongoza.
Dunia imebadilika, historia ya miaka mingi iliyopita isitunyime fursa za kujenga uhusiano na taifa makini. Hizi dini ambazo mara nyingi zinatumika kama kigezo cha kuwa na uhusiano wa kidiplomasia na nchi fulani, zililetwa Afrika na watu waliokuja na majahazi, leo hii katika dunia ya facebook na mitandao mingi ya habari wenye akili hawajifanyi kuzijua sana hizi dini. Kuna watu wanajifanya wanaujua sana ukristo kuna watu wanajifanya wanaujua sana uslamu, wote hao hawana msaada wowote kwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania, wanayoyasema yaingilie sikio la kushoto na yatokee sikio la kulia.
Wewe Ni kenge kweli, hebu tazama Nabia, Botswana, kenya na viwanda vyao yote ni kwa ajili ya Israel, hata Marekani ni Israel.una uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
Hivi uhusiano na saudi arabia umetunufaisha nini cha maana saaana kama taifa?una uhakika na usemalo? unazungumzia imani ya dini yako au objective reality ya taifa kunufaika kutokana na uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Israel? Wengine tungeshukuru ukitoa mfano wa nchi hata moja ya kiafrika iliyoendelea kutokana na kuwa na uhusiano wa kibalozi na nchi ya Israel! Kama hakuna tafadhali usipotoshe umma wa JF.
Kama si vita ya 73, Mwalimu asingefanya alokifanya. Sidhani alisukumwa na dini bali uafrika kuona Misri inavamiwa akaona inatosha sababu Uafrika kwake ulikuwa zaidi ya urafiki. Wayahudi walitufundisha mengi kwa kipindi kifupi walichosaidia JKT zetu. Nenda kwenye kambi kubwa kwama Burombora utakuta Mustin imeandikwa made in Israel. Why kwa sababu waanzilishi wa jkt ni wao. Mwl. alijua ili kujenge nidhamu na ulinzi imara alihitaji jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu, ndo maana akajenga jeshi lililofananana na israel. Akajenga nyumba kumi kumi ndo kibutz kule watu wanaishi kwa kujuananani ni nani na nani kaingia. To minimise to be invaded why sababu tulikuwa tunahifadhi wakimbizi na wapigania uhuru toka bara lote la Afrika. Je Israel ingependa kumpiga Samora kule \moro ingeshindwa? Wangesema waende Mazimbu wangeshindwa, Kinguruira au \kongwa? Walijua kila kitu lakini hata baada ya kupigana na waarabu na mzee kuwafurumisha hawakusema ngoja tuuze siri za nchi wakati ndo waliokuwa wanafundisha jeshi.Israel ndio waliosaidia kuanzishwa kwa JKT,ndio waliostructure mfumo wa nyumba kumi kipindi cha Mwalimu....vipi kuliko na faida zozote hapo,nadhani jibu unalo