johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,168
- 142,283
Mwanasiasa haaminiki for sure!Wewe humuamini? Au kisa limegeuka hili?

Sawa. Ngoja nizame. Hizo red sio zile za BOT kweli?
Siku hizi kila kitu ni sayansi ndiyo maana utasikia bachelar of arts in polical sayansi, bachelar of science in human resources e.t.cSasa hii siyo sayansi.
Hiyo inaitwa bachelor of science in government accountingMwishowe utasema hata kukwepa kodi ni some kind of science.
Halafu ni bachelor. Sio bachelar.
kuwa ama kutokuwa na imani kwako na bunge hakuongezi wala kupunguza lolote. Jema lisilo faa, ni sawa na baya lisilodhuru."Mm sina imani na hili bunge lenu!..
Sijui kwanini tulishangilia pale Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomwambia Naibu Rais wa Bunge la Africa, St. Masele, asiitike wito wa Spika wa Bunge, Job Ndugai na aendelee na majukumu yake.
Lile lilikuwa ni kosa na kutoheshimu uhuru wa muhimili mwingine. Kosa kubwa mno!
Yes, kuna udhaifu mkubwa sana kwa Bunge letu la sasa na namna Ndugai anavyoliendesha, lakini tusiruhusu precedence mbaya kama ambayo PM alitaka kuiweka.
Nampongeza Mhe. Masele kwa kuonesha nidhamu na kuitika wito wa Spika, Job Ndugai. Nimemuona akitinga bungeni asubuhi ya leo >>Mbunge Stephen Masele awasili Bungeni Dodoma kuitikia wito wa Spika Ndugai - JamiiForums
Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele amewasili Bungeni Dodoma, baada ya kuagizwa na Spika Job Ndugai kufika mbele ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, kujibu tuhuma zinazomkabili za utovu wa nidhamuwww.jamiiforums.com
Hata kama. Kosa halihalalishwi kwa kosa. Two wrongs do not make a right.

Majaliwa hakusema Masele asiitikie, alisema aendelee kwanza na shughuli ya Bunge kule.Sijui kwanini tulishangilia pale Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomwambia Naibu Rais wa Bunge la Africa, St. Masele, asiitike wito wa Spika wa Bunge, Job Ndugai na aendelee na majukumu yake.