Tulipotokea...

Explainer

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
516
504
Heshima kwenu wakuu, hivi hii kitu ilikuwa mwaka gani vile??
ggff.jpeg
hkk.jpeg
 
Mkuu hizi mbona zipo mpaka sasa, anzia wakati ule hata rangi hizo hazikuwepo, pale zilipoanza kuitwa daladala kabla hata ya chai maharage
 
MWANZILISHI WA DALADALA HAPA DAR. MTU MMOJA ALIKUA ANAISHI MANZENSE WAKATIULE KAMA SIKOSEI NI MTU WA IRINGA HUYO KWA NIKENAME...ALIKUA ANAITWA ISSACK HETH..AU KIPALA NA MANDEVU.... NA ILIKUA NI K.KOO MANZENSE TSH.5..WAKATI ULE YEYE NDIEBUNIFU ALIKUA NA FORD FORMOKO...KAMA SIKOSEI AU VOXWAGEN COMBI...THEN WENGINE WAKAANZA KUIGA NA KUTUMIA FULSA HIYO....
 
Back
Top Bottom