Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 128
- 690
Mbona GPS?Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Mitaa ya kublatain nini, enzi na mie nipo chuo ilikuwa mitaa yangu ya kwenda kula ma msosi kule kublatain na ulojo, ila darasani ni miswaki tu.. nayakumbuka sana maisha ya posta upanga.. sie badala kusoma tunaenda Jolie club au bils enzi hizo.. ila ndio maana nimeishia kupata 2.5 tena ya huruma za ma lecture, nilikuwa natia huruma sanaaa.. π₯π₯π₯π₯... ila wewe kichwa sanaa.. inabidi nikutafute unipe kazi haiwezekani usiwepo kitengo wakati tupe cheap labour hapa πMradi wote tunapumua mkuu..na tun afya mengine haya mbwembwe tu...! Mie chuo sikua nakaa class kbsπ€£π€£ full kuswampa kariakoo na posta..dah...those days
Wenye Gentleman tunacomment wapi?.Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Mm sina ajira mzee baba ..! Nasubiri niolewe tu nipate kusitirika...! Hahaha joly club enzi hizo na club bils! Na sitamani ajiraMitaa ya kublatain nini, enzi na mie nipo chuo ilikuwa mitaa yangu ya kwenda kula ma msosi kule kublatain na ulojo, ila darasani ni miswaki tu.. nayakumbuka sana maisha ya posta upanga.. sie badala kusoma tunaenda Jolie club au bils enzi hizo.. ila ndio maana nimeishia kupata 2.5 tena ya huruma za ma lecture, nilikuwa natia huruma sanaaa.. π₯π₯π₯π₯... ila wewe kichwa sanaa.. inabidi nikutafute unipe kazi haiwezekani usiwepo kitengo wakati tupe cheap labour hapa π
Architecture? Its either hauko serious au umeamua kuleta mada kufurahisha genge au vyote kwa pamoja.Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Aaah! Bills kitambo hicho ya moto.. hapo Joly palikuwa pamenoga, mala moja moja home wakituma vi hela baada ya kuwadanganya umeibiwa laptop, safety booty na overkoti, unadumbukia Las Vegas pale.. ππππ.. kweli kutesa kwa zamu .. Utatamani vipi ajira wakati unaweza ku create ajira.. ππ.. nipe chaka bwanaa weeee huku njaaa kitaaa si unajua 2.5 hata wanaitenga trancrip imejaaa makalai tu πππππMm sina ajira mzee baba ..! Nasubiri niolewe tu nipate kusitirika...! Hahaha joly club enzi hizo na club bils! Na sitamani ajira
Hahaa pole mkuu...Acha tu tufurahi mkuu, hizi kumbukumbu zinafurahisha sana
Kwanini mkuu???? I am soo seriousArchitecture? Its either hauko serious au umeamua kuleta mada kufurahisha genge au vyote kwa pamoja.
Hahahaha maisha ya las vegas dah long tym kinoma!msubiri Mama la mama Samia ajira zimeanza kutoka mkuu...Aaah! Bills kitambo hicho ya moto.. hapo Joly palikuwa pamenoga, mala moja moja home wakituma vi hela baada ya kuwadanganya umeibiwa laptop, safety booty na overkoti, unadumbukia Las Vegas pale.. ππππ.. kweli kutesa kwa zamu .. Utatamani vipi ajira wakati unaweza ku create ajira.. ππ.. nipe chaka bwanaa weeee huku njaaa kitaaa si unajua 2.5 hata wanaitenga trancrip imejaaa makalai tu πππππ
labda ataniteu kuwa hata DED πππ.. huenda tulikuwa tunasoma jirani au mazingira mamoja yani nachojua nakumbuka kama nilisomaga Dar Tech ππ.. ya kina mzee nzumbi πHahahaha maisha ya las vegas dah long tym kinoma!msubiri Mama la mama Samia ajira zimeanza kutoka mkuu...
Mademu wa dar tech wachovuu kama wa SUAππ! Sijui siku hizi...! Lazima ucheke...labda ataniteu kuwa hata DED πππ.. huenda tulikuwa tunasoma jirani au mazingira mamoja yani nachojua nakumbuka kama nilisomaga Dar Tech ππ.. ya kina mzee nzumbi π
Wakati tuko Ardhi University 2009 - 2014, kulikua na Schools.. yani kama faculty nadhani.. yakewetu ilikua inaitwa school of Architecture and Design (SADE) enzi hizo (nimesikia sasa mambo yamebadilika)...na bachelors degree inaitwa BACHELOR OF ARCHITECTURE.Umesema school of architecture.kozi gani hiyo
Labda kasoma urban planning maana Kwa ARU school of architecture ina mpaka hio koziArchitecture? Its either hauko serious au umeamua kuleta mada kufurahisha genge au vyote kwa pamoja.
Ila walikuwaga wachache sana, ilikuwa inatulazimu kuwaona wazuri tu hata mama wabaya, maana wa CBE na IFM walikuwa wanajiona sanaaaa... kuna mmoja wa CBE nilimtoaga out, nimenlewesha kinoma, akaja jamaa akamchukua alafu demu akajidai ananikataaa .. nikaondoka kwa uchungu sana.. next day demu ananiambia yule ni kaka yake ππππMademu wa dar tech wachovuu kama wa SUAππ! Sijui siku hizi...! Lazima ucheke...
Kuanzia mtoa uzi mbaka na baadhi ya wachangiaji ninamashaka na hivyo vyuo vyenu vilivyowatunuku hizo GPA.Heshima yenu wakuu.. tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively.. je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki??? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPS ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Unawezaje kua na mashaka na taasisi kubwa kama Ardhi University??Kuanzia mtoa uzi mbaka na baadhi ya wachangiaji ninamashaka na hivyo vyuo vyenu vilivyowatunuku hizo GPA.