Tulipofikia sasa tunahitaji Rais dikteta kama Mobutu

Tulipofikia sasa tunahitaji Rais dikteta kama Mobutu

Vita ya congo chanzo ni mobutu SAsa hio amani alilindaje
 
Mobutu alikuwa bogus SAwa na idi amin, Kamuzu banda na mugabe
 
Huyu bwana licha ya watu kumsema vibaya sana lakini kwangu na muita shujaa saana.

Mobutu pamoja na upumbavu wake alijua vizuri jinsi ya kulinda amani na umoja na nchi yake.

Mobutu alifanya miaka 32 madarakani.

Kongo tulikuwa na amani pamoja na umoja.

Kulikuwa hakuna haya mambo ya kubaguana au vita.

Najiuliza viongozi wengine wanashindwa wapi?

Mbona mobutu aliweza kulinda amani ya nchi pamoja na umoja wa nchi?

Mobutu alikuwa sio muoga wa kuongeya ukweli pale anapo itajika kuongeya ukweli

Kuna mda felix anaonekana anaweza kidogo acha Tumpe mda tuone kama ataweza kuvaa viatu vya mobutu vya kurudisha amani Kongo

IMG_9191.jpg
 
DRC Kongo ,inahitaji mtu mwenye upeo wa kuona mbali ,asiye na tamaa ,kinyume na hapo ,wataendelea kupigana miaka Hadi miaka.ila hata Mimi najiuliza Mobutu aliiweza vipi Kongo!!?
 
Alowaambia uongozi ni ukali na kufoka ili mambo yaende ni nani?

Kuwa na hekima na Busara ndio kila kitu.

Na chanzo cha hayo ni kumcha Mungu
 
Back
Top Bottom