kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Huyu bwana licha ya watu kumsema vibaya sana lakini kwangu na muita shujaa saana.
Mobutu pamoja na upumbavu wake alijua vizuri jinsi ya kulinda amani na umoja na nchi yake.
Mobutu alifanya miaka 32 madarakani.
Kongo tulikuwa na amani pamoja na umoja.
Kulikuwa hakuna haya mambo ya kubaguana au vita.
Najiuliza viongozi wengine wanashindwa wapi?
Mbona mobutu aliweza kulinda amani ya nchi pamoja na umoja wa nchi?
Mobutu alikuwa sio muoga wa kuongeya ukweli pale anapo itajika kuongeya ukweli
Kuna mda felix anaonekana anaweza kidogo acha Tumpe mda tuone kama ataweza kuvaa viatu vya mobutu vya kurudisha amani Kongo