Kamanda amekodi baiskeli, huyu vipi si apambane tu au magwanda anavalia usharobaro.
Mbona hushangai kwamba mizee yote imeshika mawe kwanini haiendi mikono mitupu unataka kuniambia jkt yenu ni kurusha mawe?Au unaongea huku unahemewa na mliberali lijali?hahahaha najuaga hawa ni makamanda kweli! Kumbe baadhi ni wachumba tu. Jkt ina umuhimu´wake....
Kamanda amekodi baiskeli, huyu vipi si apambane tu au magwanda anavalia usharobaro.
are U okey with this too?Kamanda amekodi baiskeli, huyu vipi si apambane tu au magwanda anavalia usharobaro.
I hate politics
Huyu aliyeshika bahasha hapo mbele lazima atakuwa ana asili ya "Cameroon", utupaji gani wa jiwe huo?!