Tulipofikia pabaya: CCM vs CHADEMA, ona hii

Tulipofikia pabaya: CCM vs CHADEMA, ona hii

walianza na maneno tukadhani ni chama kilichokomaa hatukujali
wakaja kwenye mawe hatukushtuka sana
wakaja kwenye mapanga tukadhani polisi watawadhibiti bila kujua mahusiano yao yakoje
wakaja kwenye tindikali tukashtuka lakini hatukuchukua hatua
sasa wameingia kwenye vita kamili vya mabomu na risasi za moto ...tufanyeje!????
 
Back
Top Bottom