Tulipofikia pabaya: CCM vs CHADEMA, ona hii

Kamanda amekodi baiskeli, huyu vipi si apambane tu au magwanda anavalia usharobaro.

CCM wengi wanaongozwa na akili za jibwakoko. Ukiliambia kamata... lenyewe wala haliulizi kwanini nimkamate, linakuja mbiooo.... likitoka hapo linapewa mifupa wakati bwana anakula minofu.
 
hahahaha najuaga hawa ni makamanda kweli! Kumbe baadhi ni wachumba tu. Jkt ina umuhimu´wake....
 
hahahaha najuaga hawa ni makamanda kweli! Kumbe baadhi ni wachumba tu. Jkt ina umuhimu´wake....
Mbona hushangai kwamba mizee yote imeshika mawe kwanini haiendi mikono mitupu unataka kuniambia jkt yenu ni kurusha mawe?Au unaongea huku unahemewa na mliberali lijali?
 
Tena hawa wazee wa Ccm inaonekana walikosa Bomu tu!!!!!Ukiwatazama sura zao utaona wazi wanania ovu ya kumuua huyu Kamanda la wangekuwa hayo mikononi ni mabomu wangemlimpua kama alivyofanya Mwigulu juzi pale Arusha kwenye Nyomi ya Chadema
 

Hapo nionavyo mimi kuna upande mmoja tu unaofanya mashambulizi dhidi ya upande mwingine!

Haihitajiki tume kuchunguza ukweli wa wazi kama huu. Cha ajabu upande unaoshambuliwa (kutokana na picha hii sina haja ya kueleza zaidi) ndio unakuwa wa kwanza kutuhumiwa kwa kuanzisha fujo. Wahenga walisema 'Mwenye macho haambiwi tazama', ninaamini watanzania tuna macho na tunaelewa kinachoendelea!
 
Hapa Polisi hawatachukua hatua, kinachowashughulisha ni video za mtandaoni.
Hivi kuna ushahidi gani zaidi ya huu? Nani asiyejulikana kwa sura, wajihi,umri, nadhifa n.k. katika hao?

Kwamba siasa sasa ni wazee kubeba mawe!

Tatizo si hao wazee, tatizo ni uongozi wa nchi.
Nchi inasambatika mikononi mwa JK na historia itamwandika hivyo.

Inasikitisha
 
Back
Top Bottom