Mimi sikubaaliani nawe; hasa kuhusu hiyo orodha ya sababu.Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na maisha. Yupo tayari kwa lolote.
Je, Nini kimesababisha hali hii?
A). Malezi mabovu ya wazazi
B). Maadili mabaya ya jamii
C). Kukosa elimu
D). Matumizi ya mihadarati
E). Kukata tamaa kutokana na serikali kushindwa kutengeneza fursa za uchumi kwa vijana
F). Amekua motivated na ufisadi mkubwa serikalini (kama ule wa Rost-tamu-za-Aziz).
Credit: Malisa GJ
![]()
272K views · 9K reactions | Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na maisha. Yupo tayari kwa
Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na...www.facebook.com
Nonsense.Massive brainwashing iliyofanyika kizazi kilichopita, then hiko kizazi kika brainwash walio fuata.
Lakin hao hawakuweza ku beainwash watoto wao, ndio hawa leo wanagongana kimawazo na mifumo iliyozoea kizazi kilichopita
Hii kitu ilifanyika makusudi na ustadi mkubwa, kuingiza uwoga (kusikuwepo na resistance among citizen), utii uliopitiliza, na kutengeneza tabaka ambalo only watoto wa vibosile ndio watakuwa leaders.
Atasaidiwa akiwa ndani kwanza akangaliwe kama hatoogopaHuyo dogo anaonekana anahitaji msaada,wakisema wamfunge wala siyo suluhisho ndiyo kwanza watakuwa wanaenda kutengeneza nunda
Ova na kutokubadilika
Kwa kweli CCM ni adui wa haki hapa Tanzania, hii yote inaonyesha wananchi jinsi walivyochoka na ufisadi hapa nchini, people don't care anymore.Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na maisha. Yupo tayari kwa lolote.