Tulipofikia kama Taifa

Tulipofikia kama Taifa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,955
Reaction score
828,654
Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na maisha. Yupo tayari kwa lolote.

Je, Nini kimesababisha hali hii?
A). Malezi mabovu ya wazazi
B). Maadili mabaya ya jamii
C). Kukosa elimu
D). Matumizi ya mihadarati
E). Kukata tamaa kutokana na serikali kushindwa kutengeneza fursa za uchumi kwa vijana
F). Amekua motivated na ufisadi mkubwa serikalini (kama ule wa Rost-tamu-za-Aziz).
Credit: Malisa GJ
 
jibu langu ni kwamba watanzagiza wengi hasa elites na wale born town hawajui how poor and backward tanzagiza is, wengi (watanzagiza) wapo out of touch kabisa, hawajui kuna watoto wanalala njaa na ni wengi tu tanzagiza.

kuna siku nilipanda basi la mkoani dreva wa basi akasimama barabarani kuchukuwa watoto wa shule kama kuwasaidia walikuwa wanatoka shuleni lile basi lilisafiri karibia dakika 5 (kwenye highway) ndiyo wakafika karibia na nyumbani na kuwashusha sasa fikiria huo umbali, hao watoto wanakwenda kwa mguu na kurudi kila siku, huyo mtoto atasoma kweli na kuelewa chochote ? na huo ni mfano tu na hao bado ni the lucky ones ...
 
Massive brainwashing iliyofanyika kizazi kilichopita, then hiko kizazi kika brainwash walio fuata.
Lakin hao hawakuweza ku beainwash watoto wao, ndio hawa leo wanagongana kimawazo na mifumo iliyozoea kizazi kilichopita

Hii kitu ilifanyika makusudi na ustadi mkubwa, kuingiza uwoga (kusikuwepo na resistance among citizen), utii uliopitiliza, na kutengeneza tabaka ambalo only watoto wa vibosile ndio watakuwa leaders.
 
Kwanini mgombea mwenza wa CCM kwa nafasi ya makamu wa raisi bado anashikilia cheo cha katibu mkuu?

Hamuoni kwamba nafasi zao zitawatisha wanaosimamia na kuhamasisha uchaguzi?

This general election is messed up all over.
 
Massive brainwashing iliyofanyika kizazi kilichopita, then hiko kizazi kika brainwash walio fuata.
Lakin hao hawakuweza ku beainwash watoto wao, ndio hawa leo wanagongana kimawazo na mifumo iliyozoea kizazi kilichopita

Hii kitu ilifanyika makusudi na ustadi mkubwa, kuingiza uwoga (kusikuwepo na resistance among citizen), utii uliopitiliza, na kutengeneza tabaka ambalo only watoto wa vibosile ndio watakuwa leaders.
Tusisahau pia mchango wa dini za vitabu
 
jibu langu ni kwamba watanzagiza wengi hasa elites na wale born town hawajui how poor and backward tanzagiza is, wengi (watanzagiza) wapo out of touch kabisa, hawajui kuna watoto wanalala njaa na ni wengi tu tanzagiza.

kuna siku nilipanda basi la mkoani dreva wa basi akasimama barabarani kuchukuwa watoto wa shule kama kuwasaidia walikuwa wanatoka shuleni lile basi lilisafiri karibia dakika 5 (kwenye highway) ndiyo wakafika karibia na nyumbani na kuwashusha sasa fikiria huo umbali, hao watoto wanakwenda kwa mguu na kurudi kila siku, huyo mtoto atasoma kweli na kuelewa chochote ? na huo ni mfano tu na hao bado ni the lucky ones ...
Huku kwetu Umasaini ndani ndani huku, haiwezekani mtoto aende shuleni na kurudi kila siku kwani kutoka nyumbani hadi shuleni kwa miguu ni haiwezekani kabisa kwa mtoto mdogo - Km 30+. Wazazi hatuwezi kulipia boda 4,000/= (2,000/= kwenda na 2,000/=kurudi) kila siku. Wazazi wenye pikipiki au usafiri mwingine hujitahidi lakini kama tujuavyo, vyombo vya moto kuna siku vinazingua(Kuharibika). Serikali imeweka shule za msingi za bweni lakini bado hazitoshelezi mahitaji. Bado chakula na changamoto nyingine njiani wakiwemo wanyama pori, mvua/mafuriko, watu waovu ........... halafu una watoto 3-4 wanaokwenda shuleni. Hali ni tete sana-sana.
 
kwa hali ya kawaida hiyo ni kazi ya halmashauri, ilipaswa kujua eneo lake lina watoto wenye mahitaji na hata kuorganize kuwakodishia minibus ya kuwachukuwa na kuwarudisha angalau mpaka kituoni tu karibu na wanakoishi, halmashauri kuna kodi wanakusanya, hata serikali za mitaa kuna fungu wanalo yote haya ni kwa sababu watu hawafanyi kazi, wanapokea mishahara ya bure tu na kupiga domo, ofcourse uozo umeanzia juu, kama juu ni incompetent inashuka na kuathiri kila mahali.

hilo la watoto ni mfano tu, lkn taifa lisilojali welfare ya watoto wake ambao ndio taifa la kesho ina maana halijali future yake, na haya mambo ya sijui “dira 2050” ni fiksi tu …
 
Mkuu nitakuomba univumilie kidogo.
1. Ungekuwa wewe ndo DED wa Halmashauri yetu (kwa kuzingatia huku ni Umasaini) utathubutuje kutumia fedha za walipakodi(Wananchi) kununua gari-minibus halafu ukalipeleka porini. Litapita wapi hakuna barabara ila kuna mapalio ya mifugo? Huduma za gari(service, mafuta, dereva) itakuwaje?? Je, "abiria tarajiwa" watalitunza hilo gari?
IMG_3200.JPG
Picture 119.jpg
IMG_3201.JPG
Picture 095.jpg

2. Wilaya ni kubwa na ina mchanganyiko wa Jamii: wafugaji, wakulima, wafanyabiashara (Hukohuko maporini). Kwa mtizamo wangu hakuna mkurugenzi atakayekuwa mjinga na kujaribu kutekeleza jambo hilo.
Hizo picha nimekuwekea ili upate walau uelewa wa mandhari ya huku tuliko.
 
Back
Top Bottom