Wamarekani hata ipads tu hawajawahi tengeneza...marekani ina collapse
Wamarekani walitaka kutuaminisha kuwa wao ndio baba wa tech duniani na kwao hakuna kinachoshindikana, kuanzia mwezini mpaka chini ya uvungu wa bahari, wanaimonitor dunia yote kwa ufasaha kabisa, lakini kupotea kwa ndege ya malaysia ni changamoto mpya ya dunia na kwakweli sasa tunaweza kupinga kuwa dunia si kijiji tena. Kisa cha ndege ya malaysia kinashabihiana kwa kiasi fulani na habari za mnara wa babeli.
Bado sana.
Marekani kuanguka si leo, kesho, keshokutwa, mtondogoo, wala wala mtondojogoo.
Marekani iko juu karibu kwenye kila nyanja iliyo bora hapa duniani.
Halafu unamaanisha nini kusema hata iPads hawajawahi kutengeneza?
Hawana factory wala hawajawahi kuwa nazo zinazotengeneza ipads...ni kweli bado wako juu but sio sawa na enzi za Clinton...sasa wana enjoy zaidi ni wale 1 percent
Mwisho wa mwaka huu China will be the largest economy..
Sikubali. China bado sana kuifikia na kuipita Marekani.
Unaweza kuwa na uchumi mkubwa lakini usio na ubora.
GDP ya Marekani ni trillioni 16.7. China ni trillioni 13.3
Per capita GDP (nominal) ya Marekani ni $$52,852. China ni $$6,747. You do the math.
Kinachowafanya Wamerekani wawepo juu ni strategy yao ya kukichukua kila kichwa chenye maana duniani na kukifanya cha Kimerekani.
Hawachukui kwa nguvu wala. Hao hao so called "kila kichwa chenye maana duniani" wanavutiwa na fursa zilizopo Marekani.
Fursa ambazo misingi yake iliwekwa zaidi ya miaka 200 iliyopita.
Wamarekani walitaka kutuaminisha kuwa wao ndio baba wa tech duniani na kwao hakuna kinachoshindikana, kuanzia mwezini mpaka chini ya uvungu wa bahari, wanaimonitor dunia yote kwa ufasaha kabisa, lakini kupotea kwa ndege ya malaysia ni changamoto mpya ya dunia na kwakweli sasa tunaweza kupinga kuwa dunia si kijiji tena. Kisa cha ndege ya malaysia kinashabihiana kwa kiasi fulani na habari za mnara wa babeli.
Mwisho wa mwaka huu China will be the largest economy..
Sikubali. China bado sana kuifikia na kuipita Marekani.
Unaweza kuwa na uchumi mkubwa lakini usio na ubora.
GDP ya Marekani ni trillioni 16.7. China ni trillioni 13.3
Per capita GDP (nominal) ya Marekani ni $$52,852. China ni $$6,747. You do the math.
Fareed Zakaria did a very good piece on Sundays GPS showing why the talk that China is going to overtake the US economically by the end of the year is premature.
Hii ni mbinu nzuri pia CCM yako wameacha kichwa cha kaka yako Lipumba na kuweka matikiti kwenye uchumi kisa yana rangi ya ccm kwa juu.Kinachowafanya Wamerekani wawepo juu ni strategy yao ya kukichukua kila kichwa chenye maana duniani na kukifanya cha Kimerekani.
. Kisa cha ndege ya malaysia kinashabihiana kwa kiasi fulani na habari za mnara wa babeli.