Ndivyo mnavyowadanganya wananchi?Hao unaosema ukiwafundisha wanaelewa, kasheshe hao wasiotaka kujiendeleza na wamebaki kujiendekeza.
Someni, wacheni kulalamika.
Wewe unataka kazi au siasa?Ndivyo mnavyowadanganya wananchi?
Kigezo ni kuwaondoa darasa la 7 au kupunguza wafanyakazi?
Hao wanasiasa wa darasa la 7 mbona hawajaondolewa wengine mpaka wanavyeti feki lkn wameachwa.
Kusoma siyo tatizo. Ukiwa na watoto wa wandugu nyumbani na unataka uwanunulie watoto wako nguo sharti uwanunulie wote nguo.
Hii ni kampeni ya ccm ya kuendeleza udhalimu wao. Nimeshuhudia kwenye uhakiki wa vyeti baadhi ya watu na sekta zimeachwa, darasa la 7 wameangushiwa panga watu wa chini lkn kuna wanasiasa wakubwa tu ccm wana darasa la 7.
Chama na serikali ya kidhalimu sana hii. Halafu unaambiwa uwe patriot. Teh teh teh
tena km yule shetani mkuu ndiyo anafurahi sana kuona watu wanateseka mtaani
Ni aibu sana Taifa kuingozwa na wajinga,alafu ndio tutarajie uchumi mkubwa na maebdeleo! Hiyo ni ndotoWewe unataka kazi au siasa?
Qualification ya siasa ni porojo, Mbowe si alipiga zero aka yai shuleni mbona anapiga porojo vizuri na mnamkubali?
Qualification ya kazi yoyote serikalini ni elimu. Una elimu omba kazi, huna elimu nenda kwenye siasa. Wacha ujinga.
Kwa kipato gani? Mafao yao hamjawapa mmewatimua kama mbwa tu.Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Hii ndio sababu ya wewe kuwa mwanasiasa?Wewe unataka kazi au siasa?
Qualification ya siasa ni porojo, Mbowe si alipiga zero aka yai shuleni mbona anapiga porojo vizuri na mnamkubali?
Qualification ya kazi yoyote serikalini ni elimu. Una elimu omba kazi, huna elimu nenda kwenye siasa. Wacha ujinga.
Hii ndio sababu ya wewe kuwa mwanasiasa?
Kwa kipato gani? Mafao yao hamjawapa mmewatimua kama mbwa tu.
Ni aibu sana Taifa kuingozwa na wajinga,alafu ndio tutarajie uchumi mkubwa na maebdeleo! Hiyo ni ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
FoxyUnazidi kudhihirisha ujinga wako kuwafananisha binaadam wenzako na "mbwa".
Kwa watu kama wewe Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Foxy
Ina tija kujua maana ya Foxy?Tatizo lako ni elimu tu, katafute maana ya "foxy" uielewe.
Kwa watu kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Acha uwongo hakuna magari kama hayo katika serilikali ya Tanzania ngoja nawe ya kukute ndy utajua. Awamu hii sio watumishi tuu ndy wanaumia bali hata watu wengine ambao hawakuajiliwa na serikali wanalia pia. Amka ww ndugu Mtanzania. Sidhani kama hakuna ndg yk yyte ambaye hajaumizwa na hii serikali na kama yupo basi hakika atakuwa miongoni mwa wale waathirika.
Hongera kwa shule yako isiyopingwa Bali kupiga wengine,sitaki kubishana na wewe maana serikali yetu kila siku inajinadi uchumi umekua lakini maendeleo hakuna,maisha ni Yale Yale na mengine yanaporomoka zaidi. Asante"Uchumi mkubwa wa maendeleo" ndiyo upi huo? Maana hizi shule tuna tofautiana. Enhee, mwana uchumi tupe ufafanuzi.
Wakuu wa mikoa nao ni wanasiasa? acheni kuwadaganya watu. CCM imebeba wenye 0 wengi sana akiwemo Bashite.Wewe unataka kazi au siasa?