No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Kuna watu wa aina fulani hapa duniani wao wanaona kusamehewa ni lazima...kwa hiyo wanaishi kwa kuwatendea wenzao makosa tu hawabadiliki. Sasa kwa taarifa yenu,msamaha sio lazima na ikitokea hujasamehewa muathirika ni wewe mwenyewe badilika siku hizi dunia imejaa visasi hakuna mtu anakubali msamaha wako kirahisi kwa sababu yoyote ile na kuna wengine mishipa yakusamehe imeshakatika jifunze Kuishi kama binadamu.