888I
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 445
- 553
"Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro.
Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa 2:30 usiku na kukuta barabara imefungwa kabisa na maji
"Kama mvua zitaendelea, eneo hili litaendelea kutesa watu na huenda tukapoteza maisha kama hatua zisipochukuliwa."