Tuliowahi kutendwa/kupigwa kibuti tukutane hapa

2015 Natoka makaburini kumzika Baba Yangu Mzazi. Nipo nyuma ya nyumba nimejiinamia nikilia kwa kumpoteza Baba. Mlio wa kunijulisha kuwa kuna Sms Inaingia nikausikia. Lakini kwa kuwa sikujisikia kusoma kutokana na kilio nikaona nitausoma baadae. Baada ya kulia kwa muda mrefu sana baadae nikanyamaza na kuona kuwa napaswa kuwa mwanaume. Ndipo nilipoamua kuufungua Ujumbe. "IT'S OVER". kwanza niliganda kwa Muda Nikijiuliza nilichomkosea. Nikaamua kumpigia kuuliza tatizo na kosa langu. "Hujui kuachwa? Lilikuwa swali kisha akakata simu. Mpaka leo silijui kosa langu
Alikua shetani lucifer huyo ..
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nilichukua mkopo kumuendeleza Mke wangu,baadae akaniona fala,akaenda chuoni na kuja na mimba ya mtu mwingine,kwa kuwa alijua nitahoji mimba ya nani,akajifanya ana uvimbe tumboni akachomoa mimba. Well n good is Dr aliyemfanyia kutoa hiyo mimba ambayo I came to know later it was a miscarriage akanipa pole kwa ajili ya hilo tatizo la miscarriage wakati Mke wangu anasema ni uvimbe. Alipotoka hospitali akaniambia anataka talaka ili awe huru,nikamuuliza unakwenda kwa aliyekupa mimba? Akabaki mdomo wazi,nikamwambia unapendwa sababu nakuhudumia,wewe kuwa huru halafu uone kama wanaume watakufuata. Alipokwenda duniani na kuona dunia inampiga akaomba turudiane,nikamwambia,the number you're dialing isn't existing ! She is there somewhere asking my parents now and then turudiane nami nimeamua kufunga vioo vya mbao sababu mkopo ambao nilichukua kumsomesha naulipa mpaka leo.
Kumbe sio tu Mchumba hasomeshwi,hata mke hasomeshwi
Sio kidogo,maana mkopo unauma kwelikweli
Good good
Forgiving those who hurts you is like giving them an extra weapon coz they missed you a first, hongera kwakuwa MWANAUME maana mvulana angesamehe
Inategemea Pritty wa joseph kwa sababu ni mitume ndo walikua na roho nyepes za KUSAMEHE like YESU
 
Hahaaaaa nyie wanaume.... Mungu anawaona...
Nilikutana na mtapeli wa mapenzi miaka mitatu iliyopita. Kabla ya kukutana nae niliwahi kuwa na mpenzi ambaye hatukudumu muda mrefu. Na mambo yetu yale tulifanya mara moja lol... Na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza. Baada ya hapo nokafocus kwenye maisha. Maswala ya mapenzi nikaweka kando. Baada ya miaka miwili ndipo nilikutana na huyu mtapeli. Hakuwa na lolote wala chochote lakini sikutazama hali yake. Tulipendana sana. Hakuwahi kuniletea zawadi inayozidi elfu kumi lakini binafsi nilikuwa naridhika sana. Baada ya muda akapata kazi.
Sikuamini lol...
Aliniambia nakuacha sababu by the time we were together sikuwa na mtu. So now l have everything kila mtu ananitaka. Hahahaaaa... Mnaweza kuimagine jamani...
Akaenda mbele zaidi kwa kunitukana na kuniambia haitokaa nikaolewa...
Hana sababu ya maana ya kunichukia.
But he is very sick now and still single... Mungu atuhurumie
 
2015 Natoka makaburini kumzika Baba Yangu Mzazi. Nipo nyuma ya nyumba nimejiinamia nikilia kwa kumpoteza Baba. Mlio wa kunijulisha kuwa kuna Sms Inaingia nikausikia. Lakini kwa kuwa sikujisikia kusoma kutokana na kilio nikaona nitausoma baadae. Baada ya kulia kwa muda mrefu sana baadae nikanyamaza na kuona kuwa napaswa kuwa mwanaume. Ndipo nilipoamua kuufungua Ujumbe. "IT'S OVER". kwanza niliganda kwa Muda Nikijiuliza nilichomkosea. Nikaamua kumpigia kuuliza tatizo na kosa langu. "Hujui kuachwa? Lilikuwa swali kisha akakata simu. Mpaka leo silijui kosa langu
Vipi yy bado mnawasiliana au ndo basi tena!?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hahaaaaa nyie wanaume.... Mungu anawaona...
Nilikutana na mtapeli wa mapenzi miaka mitatu iliyopita. Kabla ya kukutana nae niliwahi kuwa na mpenzi ambaye hatukudumu muda mrefu. Na mambo yetu yale tulifanya mara moja lol... Na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza. Baada ya hapo nokafocus kwenye maisha. Maswala ya mapenzi nikaweka kando. Baada ya miaka miwili ndipo nilikutana na huyu mtapeli. Hakuwa na lolote wala chochote lakini sikutazama hali yake. Tulipendana sana. Hakuwahi kuniletea zawadi inayozidi elfu kumi lakini binafsi nilikuwa naridhika sana. Baada ya muda akapata kazi.
Sikuamini lol...
Aliniambia nakuacha sababu by the time we were together sikuwa na mtu. So now l have everything kila mtu ananitaka. Hahahaaaa... Mnaweza kuimagine jamani...
Akaenda mbele zaidi kwa kunitukana na kuniambia haitokaa nikaolewa...
Hana sababu ya maana ya kunichukia.
But he is very sick now and still single... Mungu atuhurumie
Pole sana...bado upo single tuchangamane
 
Mzee umenikumbusha Niko olevel kuna manz nilikua namuelewa aisee alinipiga chaga hio alinitumia txt ina kila aina ya shombo dah nilijisikia ovyo sana
Sema saa hv namuona tu kitaa lyf limempiga mpaka mm ndo namuonea huruma
 
Dah Kuna Mrembo Mmoja Alitumia Sms POLE KWA KUKUPOTEZEA MUDA MIMI NA WEWE BASI TENA NAOMBA TUACHANE USINISUMBUE TENA Halafu Akawa Hapatikani Mwezi Mzima
 
Hahaaaaa nyie wanaume.... Mungu anawaona...
Nilikutana na mtapeli wa mapenzi miaka mitatu iliyopita. Kabla ya kukutana nae niliwahi kuwa na mpenzi ambaye hatukudumu muda mrefu. Na mambo yetu yale tulifanya mara moja lol... Na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza. Baada ya hapo nokafocus kwenye maisha. Maswala ya mapenzi nikaweka kando. Baada ya miaka miwili ndipo nilikutana na huyu mtapeli. Hakuwa na lolote wala chochote lakini sikutazama hali yake. Tulipendana sana. Hakuwahi kuniletea zawadi inayozidi elfu kumi lakini binafsi nilikuwa naridhika sana. Baada ya muda akapata kazi.
Sikuamini lol...
Aliniambia nakuacha sababu by the time we were together sikuwa na mtu. So now l have everything kila mtu ananitaka. Hahahaaaa... Mnaweza kuimagine jamani...
Akaenda mbele zaidi kwa kunitukana na kuniambia haitokaa nikaolewa...
Hana sababu ya maana ya kunichukia.
But he is very sick now and still single... Mungu atuhurumie
Aiseee no wonder karma imemkuta
 
Girlfriend wangu alinipiga l

Kibuti jioni kwa ujumbe wa sms kwamba anaolewa amepata bwana kwaio mimi na yeye basi tenaa tangu hapo simu ikawa haipatikani

Baada ya miezi kama saba hivi mbeleni alinitafuta mana alikoolewa kilikuwa hapasomeki na mm kwa uchizi wa love basi nikamsikilizaa shidaa nn ....

Akaniambia kuwa anaumwa sana na hana hela ya hospital ...kiukweli alikiwa anaumwa si unajua mimba changa

Ilibidi nimsaidie pesa
Baada ya kujifunguaaa jamaa wake aliyezaa naye ikabidi watengane mana life gumu ilibidi arudi kwa wazazi wake tuu

Saizi ananiomba msamaha

Mimi nakula bata tuu na maisha ya kuwa single nabaki chovya tuu
 
mnamo tarehe 25 september 2015 Nilipokea ujumbe kutoka kwa my love of my life...unasema ..."DONT EVER, EVER, EVER even calling me, texting me or any kind of that, mimi nawewe ibaki kama historia kwamba we were lovers, this time i dont have feeling on you!! Do your Things.!

after 4 Years, kapata bwana Mvuta bangi, anapigwa balaa..matukio kibao..
Saivi kaolewa..ndoa haijafulia ananitafuta sana anasema bwnaa ake mfupi..hampendi ana kisirani.. ananiuliza kama Bado upendo wangu ule wa kipind kile upe..hivi anasema KANIMISS AJE NIMKULE..hana furaha kwenye ndoa yake..

NB. In everything you do, take a break of five minutes to fear women.!!
 
Kuachwa ni hatari sana.nakumbuka nikiwa mwaka wa nne chuoni nilipigwa chini na manzi mmoja hivi bila sababu yoyote na ukizingatia siku tatu kabla ya kupigwa chini nilikuwa nimetoka kumfanyia shopping ya laki nne hela ya boom hiyo. Kiukweli nilijuta na kuwazia mkwanja wangu.

Kibaya zaidi akawa tena na mahusiano na jamaa ambae tulikuwa tunakaa wing moja. Hivyo kila nilipokuwa nikimuona moyo ulikuwa unalipuka na kupelekea niishiwe nguvu.

Kibaya zaidi uhusiano wetu ulikuwa unajulikana kwa kila mtu karibia chuo kizima. Hivyo ilikuwa hatari sana.

But niliwapata mademu wawili wasiojua kutenda mtu yani pombe na wadada wauza K.

Hivyo vitu ndivyo vilinisaidia kumsahau na kusahau mkwanja wangu.

Pia alisababisha GPA yangu kushuka kwa sababu muda wote nilikuwa ni mawazo na kunywa pombe tu. Hamu ya kupiga msuli ilipotea kabisa.
Haya matukio ya hivi watoto wa kike huwa wanafanya wakichukulia mambo simple sana as if MUNGU ni mjomba wao, wanasahau kuwa mtu anapoumia na anakosa utetezi huwa ana mlilia MUNGU sana.

Ila mtu wa hivyo unamuacha tu wala usiwaze si kajiona mjanja.
 
Ah...we uliachwa sema tu hujajua sometimes mtu anakuwa kakuchoka ila kukwambia hawezi so unatengenezewa mazingira kero,maudhi hadi unaghaili mwenyewe unaamua kuachia ngazi anajifanya kulalamika km bdo anakutaka hv kumbe anatafuta kuondoka kidiplomacy bila lawama!
Ufala tu. Huko anapokwenda na yeye si atachokwa pia. Hivi unaweza mpenda mtu kwa frequency ile ile kila siku?!

Kuna muda mapenzi yanapoa tu so unatafuta mambo ya kufanya kujikeep busy na kukukweka sawa. Watu wa hivi Ndoa wataziweza. Maana unaishi na mtu unamuona kila siku ni zaidi ya kuchokana aisee.
 
Back
Top Bottom