Tuliowahi kupewa hela na wanawake

Tuliowahi kupewa hela na wanawake

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Wasalaam,

Hakuna kitu kigumu kama mwanamke kufungua pochi yake akupe hela yake, najua wengi tunalujua hilo.

Ili mwanamke akupatie hela yake fahamu kuwa ameona kitu ndani yako au ulimkosha haswaa kinyume na hapo utabaki kuwa mtoaji tu.

Mwanamke kukupa hela sio dhambi au haimanishi wewe ni marioo bali inaonyesha ulienaye anajali pia kama wewe unavyojali kwa kumpa pesa.

Ni Kwel kuwa wanaume we are obligated kutafuta fedha but sometimes the world doesn't revolve around us yan unapigika mpk unataka kutafuta pakutokea ila ukiwa na mpenzi si dhambi kumvutia waya na kumuomba.

Kwa kweli katika mahusiano yangu yote niliyowahi kupitia nilibahatika kukutana na wanawake ambao wanajali sana kiwango ambacho kukupa hela pale unapokuwa na shida kwao ilikuwa ni simple km kusukuma pazia.

Without shadow of doubt ili upate pesa ya mwanamke you don't have to sweat for it bali inabidi uishi nao kigentleman tena kindly(though hawatabiliki but men always ni drivers).

Vipi wenzangu nyie mlipataje/wezaje kupewa fedha na watoto/mtoto wa kike kiulaini.

Neno la leo: Habari za kupiga show za kinorth korea na kutumia mikongo, Alkasusu, viagra kvant haina mahusiano na kupata mpunga kutoka kwa watoto wazuri.
 
Siku nikipokea hiyo bahati nafikiri ndo itakuwa dalili ya kuwa sitaenda motoni..

Sijui ninamkosi kutoka dunia ipi maana kusema hata ile mia kwamba mtoto wa kike anipe kwamba nikale hata pipi sijawahi..😅

Nimeamini Mungu na waungwana shetani na wahuni..😅
 
Siku nikipokea hiyo bahati nafikiri ndo itakuwa dalili ya kuwa sitaenda motoni..

Sijui ninamkosi kutoka dunia ipi maana kusema hata ile mia kwamba mtoto wa kike anipe kwamba nikale hata pipi sijawahi..

Nimeamini Mungu na waungwana shetani na wahuni..
Pole Mkuu kwa hilo, ila wengine tunajilia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nitoke nje ya mada,

Hii tabia ya wanaume kuomba omba hela imetoka wapi.? Mbona inazidi kushamiri.?
Wanaume kazi ya kuomba omba pesa mtuachie tu siye, ninyi hampendezi walaqhi'..!!
Dada sio katiba, eti mwanamke hawez msaidia mwanaume in terms of money.
Shida tumeumbiwa binadamu alafu ukizingatia ulie nae ni ur other half kwanini usimuombe akusaidie pale unapokwama.

Km mnavyotuomba tukiwa na shida na sisi pia sio dhambi kuwaomba tukiwa na shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom