wanaolipa kisasi au??Sijawahi kulia ila hua naumia moyonii.. maranyingi hua napenda watu ambao wanarudisha maumivu.
Dume la Dar lakini![emoji53][emoji53][emoji53]mimi ni dume mkuu! tena sio dume tu ni dume lenye mbegu
Unampenda na kumjali sana. At the end hata kiss hataki..wanaolipa kisasi au??
hakika nimeikop nakuipest kwenye sms hapa nasubiri majibuSijawahi kulia ila hua naumia moyonii.. maranyingi hua napenda watu ambao wanarudisha maumivu.
"..If you love someone more than they deserve, you always end up with more pain than you deserve"
Even though i cant have you but still I love you FS
Umekopi nini mkuuhakika nimeikop nakuipest kwenye sms hapa nasubiri majibu
Cjawahi kuliaHabari wakuu,
Kama umeshawahi kulia na sio kulia tu ni kulia kwa uchungu kwa sababu ya mapenzi, huu ndio uzi wako spesho.
Ilikuajeje hadi ukalizwa?
Ulijiona mjinga baada ya "kilio mapenzi"?
Utarudia kulia tena kwa sababu ya mapenzi?